Its 9 wake up my dear

aaaaaaaaaaahhhhaaaaaaaa haaaaaaaaaahaaaaaaaaa....

Miitumwa mpende arsenal? Mnadhan bila haya wenga angesajili?

Usiwe kama ndo umeujua mpira leo,naomba nitajie miamba inayotawala kwa utandazaji wa soka duniani kwa sasa katika ngazi ya club then i will be back to tell you kwamba aliyeanguka ndiye anaenyanyuka!

Usiwe kama ndo umeujua mpira leo,naomba nitajie miamba inayotawala kwa utandazaji wa soka duniani kwa sasa katika ngazi ya club then i will be back to tell you kwamba aliyeanguka ndiye anaenyanyuka!

kwa sasa ni barcelona ambaye amempokea madrid aliyetawala 2000 mwanzon. Nyie mnajiita miamba wakat hamjawah chukua kombe kwa miaka 6. Afadhal na liverpool na mancity ambao wamewah chukua makombe recently kuliko arsenal mnaojisifia kucheza mpira usiokuwa na manufaa.

kaka 2po pamoja! Wana G8 hawana raha kabisa! Ha,ha haaaaa!!!

tatizo lao walizidi ongea sana wakishinda. Mara ooh wenga kocha hasaji supastaa anachukua watoto na tunawafunga. Tatizo lao walitaka wakusanye ambapo hawajatawanya. Tht z big noooo.

kwa sasa ni barcelona ambaye amempokea madrid aliyetawala 2000 mwanzon. Nyie mnajiita miamba wakat hamjawah chukua kombe kwa miaka 6. Afadhal na liverpool na mancity ambao wamewah chukua makombe recently kuliko arsenal mnaojisifia kucheza mpira usiokuwa na manufaa.

Yup!,nilitaka jibu kama hili,hao hao Barca ambao kila wakikutana na Madrid wanawanyuka,kuna historia inawatesa,mwaka 1943;REAL MADRID 11-1 BARCELONA.They are football kings by now but they will never live to forget that.Arsenal kufungwa nane katika hali kama ile tuliyokuwa nayo ni sawa na Mume kupigwa na Mkewe akiwa anaumwa taabani kitandani,hapo hatuwezi kumpa sifa mke kwamba ana nguvu kuliko mumewe!We are gunners and we will keep gunning to bounce back!

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom