Its 3pm the RED PHONE is ringing at Ikulu....

Nafikiri Bora Kutuma Txt Tu Mana Inawezekana Hata Hiyo Simu Ikawa Kwenye Silent Mode It Late Nite Remember!!!!!!
 
red-telephone.jpg


Yes its PM and not AM kwa sababu najua 3 am atakuwa analala tuu but be honest Can you really trust this guy with our national security?
ms-2.jpg

Personally i wouldnt trust him with anything. He is not the leader i could trust. He broke that trust the first 3 months after he was elected



...duu trust me kwa kuangalia hii picha unaweza kuona feelings za muungwana kwa hichi kibinti...ule mkono sijui ame wrap wapi..maana sioni...nyuma anashika nini....du...ukiniambia baada ya hapo aliwaomba wasaidizi wake msaada kwenye tuta kukapata hako kabinti sintakataa....

du muungwana ana test ya vimwana kweli!!!.....A.K.A NICHOLAS SAKOZY wetu
 
Wana JF...huyu Bint ni yupi? na Hii picha ilipigwa wakati gani? wakati yu president au la?....

GT umeanzisha mada kule KUHUSU 1st DATING ....kimsingi ukionesha unayafagilia mambo ya DATING...for whatever reasons....Vipi unakuwa na GUTs za Kumsema JK on the same mission? Ujasiri unaupata wapi?...Samahani unajua kama wewe ni mlevi, ujasiri wa kumwambia mlevi mwezio aache Pombe unaupata wapi?..Tuweni wa kweli...
 
Game Theory, ili nisiende nje ya mada naomba kuelimishwa kabla ya kuanza kuchangia, hiyo Red Phone ni ya kazi gani hasa? Ni ya rais kuitumia tu kuwapigia watu simu, ni ya rais kuitumia tu kupokea simu alizopigiwa au anaitumia rais tu kupiga na kupigiwa simu? Ina extension za kwenda kwa wasaidizi wake wengine? Usinione ni mbumbumbu, naonmba kupata elimu. Mwisho, hiyo sinema fupi inayoandamana na maandiko yako ikionyesha hao warumi wanaokatana miguu, vichwa na mikono inatisha, yaweza athiri kisaikolojia baadhi ya wasomaji wa JF; sijui kama waweza kuiondoa!! Samahani kwa usumbufu, mimi Mama Mdogo aka dada yako. Ni hayo tu.



JAMANI WATAALAMU HATA MIMI SIJAJUA MAANA YA HIYO RED PHONE,TAFADHALI TUELIMISHENI..............THANKS IN ADVANCE
 
Back
Top Bottom