Its 3pm the RED PHONE is ringing at Ikulu....

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,546
779
red-telephone.jpg


Yes its PM and not AM kwa sababu najua 3 am atakuwa analala tuu but be honest Can you really trust this guy with our national security?
ms-2.jpg

Personally i wouldnt trust him with anything. He is not the leader i could trust. He broke that trust the first 3 months after he was elected
 

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583
178
The Phone is ringing...who do you want it to answer JK, Luhanjo, or Salva?
 

BiMkubwa

JF-Expert Member
Jan 9, 2007
529
97
I do not think we ever had one. The most red phone we may have is his excellency's cellphone......
 

Mr Kiroboto

JF-Expert Member
May 3, 2008
350
87
GAME THEORY
Inakuwaje hapo maana namuona muungwana yupo at zero potential halafu ujatufungua masikio maana ya hiyo red phone.
 

Asha Abdala

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
1,131
40
red-telephone.jpg


Yes its PM and not AM kwa sababu najua 3 am atakuwa analala tuu but be honest Can you really trust this guy with our national security?
ms-2.jpg

Personally i wouldnt trust him with anything. He is not the leader i could trust. He broke that trust the first 3 months after he was elected


Where is his other hand?
What has happened to his eyes?
Why did he do this?
Is he the President of Zanzibar as well?
Shame on them....

Asha
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,546
779
I dont know who to trust anymore

JK
MEMBE
PINDA


the are all incompetents

AND please dont tell me about Mbowe or Maalim seif
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,343
39,010
mimi sina tatizo na hiyo simu kulia au kama ni nyekundu au ya njano; na tatizo langu siyo muda watakaopiga iwe mchana au usiku; na kwa hakika tatizo langu haliko kwenye nani atawahi kuipokea... tatizo langu ni "who will be on the other side"... na la pili "atamwambia nini huyo aliyepokea" Na hapa nafikiria mambo ya "The Manchurian Candidate".. GT na Icadon.. I hope mmenipata.
 

Mwakilishi

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
484
26
Isn't it a tad bit too late to start questioning his trustworthiness (or lack thereof)? I mean he is (not was or wants to be)the president and commander-in-chief of the armed forces so whether you like it or not, the buck stops with him.
 

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583
178
mimi sina tatizo na hiyo simu kulia au kama ni nyekundu au ya njano; na tatizo langu siyo muda watakaopiga iwe mchana au usiku; na kwa hakika tatizo langu haliko kwenye nani atawahi kuipokea... tatizo langu ni "who will be on the other side"... na la pili "atamwambia nini huyo aliyepokea" Na hapa nafikiria mambo ya "The Manchurian Candidate".. GT na Icadon.. I hope mmenipata.

Dah, umenikumbusha movie ya The Manchurian Candidate both ile ya back in the 60s na ya '00s.....Kwa wale mlioko interested I will recommend these books The Search for the Manchurian Candidate: The CIA and Mind Control,The Manchurian Candidate

Alafu huo msimu mwekundu umenikumbusha enzi zile za cold war(Hotline)
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,546
779
It was agood movie..i liked the original than the one Denzel did. MKJJ

nadhani simu kama hiyo ikipigwa basi sitoshangaa kama JK akimwamuuliza Salva tufanye nini? then Salva atakwambia kwani Membe kasemaje? maana inda of course wanamjua hamna kitu pale...Membe love him or hate him atamake decision on behalf of muungwana na kama kawaida yake Muungwana atajiiliza kama ali make the right decision.
maana kumuuliza MKAPA hatoweza na kuumuuliza MWINYI sidhani kama huwa anamuuliza kitu siku hizi

of course when the worse becomes worst then najua watampigia Deus ex Machina wao ambao nadhani wote mnamjua
 

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,790
469
haya...huwa yanaongelewa sana mitaani, mnayaleta na humu? mwenye za uhakika azilete, kama zipo..
 

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,953
2,114
Game Theory, ili nisiende nje ya mada naomba kuelimishwa kabla ya kuanza kuchangia, hiyo Red Phone ni ya kazi gani hasa? Ni ya rais kuitumia tu kuwapigia watu simu, ni ya rais kuitumia tu kupokea simu alizopigiwa au anaitumia rais tu kupiga na kupigiwa simu? Ina extension za kwenda kwa wasaidizi wake wengine? Usinione ni mbumbumbu, naonmba kupata elimu. Mwisho, hiyo sinema fupi inayoandamana na maandiko yako ikionyesha hao warumi wanaokatana miguu, vichwa na mikono inatisha, yaweza athiri kisaikolojia baadhi ya wasomaji wa JF; sijui kama waweza kuiondoa!! Samahani kwa usumbufu, mimi Mama Mdogo aka dada yako. Ni hayo tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom