Itifaki kwenye hotuba za Ramaphosa na Magufuli Ikulu Tanzania

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,546
19,411
Nimesikiliza hotuba za viongozi hao nikaona aibu kidogo kwani badala ya rais mwenyeji kuanza hotuba yake na kuishia kwa kumkaribisha mgeni wake, nimeona kuwa mgeni ndiye aliambiwa atoe hotuba kwanza halafu mwenyeji amalize. Sijui hiyo ni protocol ya namna gani.

kwa vile Ramaphosa aliongea kiingereza, siyo kizulu, ilikuwa ni vyema Magufuli naye afanye ku-reciprocate kwa kuongea kiingereza pia, siyo kiswahili.
 
Nimesikiliza hotuba za viongozi hao nikaona aibu kidogo kwani badala ya rais mwenyeji kuanza hotuba yake na kuishia kwa kumkaribisha mgeni wake, nimeona kuwa mgeni ndiye aliambiwa atoe hotuba kwanza halafu mwenyeji amalize. Sijuo hiyo ni protocol ya namna gani.

kwa vile Ramaphosa aliongea kiingereza, siyo kizulu, ilikuwa ni vyema Magufuli naye afanye ku-recipracte kwa kuongea kiingereza pia, siyo kiswahili.
Haina tatizo hata Marekani huwa hivyo kulingana na mazingira!
 
Nimesikiliza hotuba za viongozi hao nikaona aibu kidogo kwani badala ya rais mwenyeji kuanza hotuba yake na kuishia kwa kumkaribisha mgeni wake, nimeona kuwa mgeni ndiye aliambiwa atoe hotuba kwanza halafu mwenyeji amalize. Sijui hiyo ni protocol ya namna gani.

kwa vile Ramaphosa aliongea kiingereza, siyo kizulu, ilikuwa ni vyema Magufuli naye afanye ku-recipracte kwa kuongea kiingereza pia, siyo kiswahili.
.
IMG_20190807_094514.jpeg
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽Pale mtu anataka kuhalalisha jambo kwa kutoa mfano FAKE wa USA bila kujua wewe unaishi huko kwa robo karne sasa.😎😎😎

Siyo kweli mzee, mimi nimeishi Marekani takribani miaka 25 sasa, nimeona tawala za Clinton, Bush, Obama na sasa Trump; hawafanyi hivyo hata siku moja!
 
Kiingereza hahaahahhah. Magufuli siyo mzuri kwenye kuongea kiinglish. Mlitaka achapie iwe gumzo? Hapo kwenye protokali hiyo imewekwa makusudi ili iwe Rahisi kwa JPM kuongea kutokana na Rais Mgeni atakavyoongea.
Angejitahidi tu ili watu wamzowee. Ninajua kuwa anaweza kuongea kiingereza vizuri tu kwani ni msomi wa anga za juu, na ameshahudhuria mikutano mingi ya kimataifa, ila labda lafudhi ya kisukuma ndiyo itakayomsumbua. Hata hivyo asifiche hilo, ni lazima aliache liwe wazi watu walizowee.
 
Angejitahidi tu ili watu wamzowee. Ninajua kuwa anaweza kuongea kiingereza vizuri tu kwani ni masomi wa anga za juu, na ameshauhudhuri mikutano mingi ya kimataifa, ila labda lafudhi ya kisukuma ndiyo itakayomsumbua; hata hivyo asifiche hilo, ni lazima aliache liwe wazi watu walizowee.
Kwani imekuwaje? Hajabonga kidhungu?
 
Haina tatizo hata Marekani huwa hivyo kulingana na mazingira!

Huu utawala kuna watu wameamua kujitoa ufahamu kwa kutetea kila namna ya upuuzi unaofanywa na Utawala wa Magufuli.
Kila jambo hata kama linaonekana limekosewa kabisa iwe KIITIFAKI au KISHERIA watu wanaona sawa tu...!!!Hiki kimekuwa ni kipimo kizuri sana cha kujua ujuha, ujinga, uzezeta na uelewa wa mambo kwa Wabongo walio wengi. Watu wanatakiwa waamke na wabadilike..!!!
 
Kiingereza hahaahahhah. Magufuli siyo mzuri kwenye kuongea kiinglish. Mlitaka achapie iwe gumzo? Hapo kwenye protokali hiyo imewekwa makusudi ili iwe Rahisi kwa JPM kuongea kutokana na Rais Mgeni atakavyoongea.
Mmh kwamba walipanga hivyo ili aweze ku-desa speech? Kwani hakukuwa na grounds of discussion kabla hawajakutana?
 
Mambo madogo madogo kama hayo huleta aibu sana

..mbona hilo ni dogo.

..fuatilia ziara ya Waziri Mkuu wa India hapa Tz.

..Raisi Magufuli alitoa hotuba yake kwa Kiswahili.

..wakati anahutubia kulikuwa hakuna mkalimani.

..Raisi Magufuli alipomaliza akajitokeza Afisa mmoja Mtanzania akaanza kusoma hotuba nzima ya Raisi kwa kiingereza!!
 
Angejitahidi tu ili watu wamzowee. Ninajua kuwa anaweza kuongea kiingereza vizuri tu kwani ni masomi wa anga za juu, na ameshauhudhuri mikutano mingi ya kimataifa, ila labda lafudhi ya kisukuma ndiyo itakayomsumbua; hata hivyo asifiche hilo, ni lazima aliache liwe wazi watu walizowee.

Ni ushauri mzuri.
Tatizo la Jiwe hashauriki wala haambiliki. Jamaa ni kichwa maji kwerikweri....!!
 
Back
Top Bottom