ITEL S31: Simu kujizima kila muda

James Hadley Chase

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
1,565
2,639
Habari ya asubuhi wadau.

Nina simu aina ya Itel S31. Kiukweli hii simu ina kamera kali pia ipo speed sana kuitumia na ni nyepesi. Sijawahi hata siku moja kuiona imekuwa nzito.

Tatizo la simu ni kwamba yaani hata ukiiweka mfukoni ikigongana na shilingi iliyopo mfukoni lazima ijizime.

Yaani hata ukidondoka bahati mbaya lazima ijizime.

Pia betri halikai sana na chaji.

Linakaa saa 1:30 hakuna kitu.

Je, tatizo nini?

Asanteni
 
Mkuu, Mimi pia natumia simu aina hiyo tangu 2019, simu nzuri kiukweli, hayo maswala itakuwa ni kwa upande wako mwenyewe tu,
 
Back
Top Bottom