Itel P12 na tatizo la kudownload, msaada wenu wadau

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,429
2,000
Jamaa yangu ana shida, itel yake P12 haikubali kudownload pamoja na kufanya mbinu zote..so anaomba msaada wadau. Anatumia play store.
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,429
2,000
Inamwambia if it doesnt work visit google and report your problem ..hivyo tu basi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom