Itawasaidia wale wapenda slope

Jessy Joseph

Member
Feb 23, 2017
55
26
4e5505009b922b0bb18fcacb4911631b.jpg
 
Aaah kuna wanawake wengine fyongo sana ...haimuumizi ata kidogo. Kuna Dada mmoja kitaa kawajengea nyumba ya kitabe familia yake yani mamake na wadogo zake yani kiuno chake kwa waume za watu ndo capital yake ...ana Maisha mazuri kinyama yani ila shida ndo hapo ndoaa bado ...tunajichekesha kwake tu ili tupate kulelewa na sisi
 
Yeeahp yeeahp yeeahp...in BRIEF details"Watu wanapofunga NDOA na kuahidi kuwa Kifo tuu ndo kitawatenga baina yao(Mke&Mume)" yaani kwa maana nyingne huyo mchepuko mwenye dhumuni la kuwa virus kwenye ndoa na kuleta malumbano na mwisho Divorce kwa jina lingne yeye ni "KIFO"
 
Wakina dada komaeni hayo maneno tu, yasiwatishe, kila mtu aishi anavyotaka na nyie mna uhuru wa kufanya mnayotaka

Kazeni buti my dear sisters.
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom