Italy inatarajia kuiondoa Huawei kwenye mpango wake wa 5G

Kwa maana hio unapokuja juu kimaendeleo na kiuchumi na kitechnologia ni kupambana na Mmarekani, yaani mna akili zilezile kuwa hakuna taifa litakaloipita Marekani kama mnavyodanganywa, sasa kama marekani sasaivi ina nguvu kwa nini anateseka na technology ya mchina, anahofia nini hasaa wakati watu wanafanya business zao halali kimataifa , zama zimebadilika now, anatumia nguvu kubwa sana kushawishi mataifa ya Europe kutodeal na mchina, ooooo maskini taifa kuu linaangamia itabaki historia

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app

Well said mkuu, thank you - tatizo linalo kumba wengi wetu ni kushindwa kutofautisha propaganda za main stream media za huko Merikani na hali alisi ya nani anaongoza Duniani katika masuala ya uundaji wa 5G radio transceiver zinazo tumiwa na service providers wa cellphone networks - ukweli wa mambo ni kwamba kampuni ya Huawei ndio unaongoza katika teknolojia ya 5G, vile vile Huawei ndio wanamiliki takribani asili mia 90 ya patents za 5G i.e intellectual properties (IPs)hivyo washindani wao wakitaka kuzitumia watalazimika kuzikipia patents au kukataliwa kupewa kibali na Huawei - kwa kifupi hivi sasa kampuni ya Huawei ndio imeshikiria mpini wa teknolojia hii, kampuni za Sweden, Finland na America zimeshindwa kabisa data throughput kufikia au kuzidi za Huawei kutokana na teknolojia yao kuwa ni improvised 5G i.e not a truly 5G ndio maana ziko dead slow compared na Huawei.

Bottom line is: All Nations around the World should have a choice - aidha wakubali kupotoshwa na fitina za kibiashara za America kuhusu Huawei huku wakijua kwamba watakuwa stuck na teknolojia ya ulaghai ambayo sio truly 5G au wakubali kununua teknolojia ya 5G kutoka kampuni ya Huawei ili wasibaki nyuma kimawadeleo - chaguo libaki kwa mataifa yanayo husika bila ya kushinikizwa na USA kutokana na uchoyo na roho ya kwa nini yenye lengo la kutaka kuididimiza kiuchumi China - hivi sasa Dunia imekwisha shitukia fitina za USA juu ya kampuni ya Huawei - crusade ya Trump na wenzake dhidi ya Uchina zita shindwa eventually.
 
We tulia uone, ili Ulaya ifanye mchina anachofanya zinaungana nchi mfano: Space programs wanaungana lakini mchina anafanya yake na space station anatengeneza yake peke yae, ulaya waliungana kutengeneza mfumo wa positioning kama wa marekan (GPS), Mchina one man army katengeneza wa kwake. Sasa hivi wanazifanyia test ndenge za abiria japo itachukua muda mpaka zikubariwe.
Sasa fikiria nchi iliyokuwa chini sana imetawaliwa na Japan imesumbuliwa na Muingereza, ilikuwa chini huku imefika hapo ina reserve kubwa ya dollar unategemea nini kitafuata.
Tegemea innovation zaidi na kuwa na ushawishi mkubwa zaidi.

Mkuu fitina za jamaa hawa zinatokana na kuogopa kasi ya maendeleo ya Wachina katika nyanja zote - ugomvi wao husio kuwa na kichwa wala miguu unatokana na hilo.
 
Well said mkuu, thank you - tatizo linalo kumba wengi wetu ni kushindwa kutofautisha propaganda za main stream media za huko Merikani na hali alisi ya nani anaongoza Duniani katika masuala ya uundaji wa 5G radio transceiver zinazo tumiwa na service providers wa cellphone networks - ukweli wa mambo ni kwamba kampuni ya Huawei ndio unaongoza katika teknolojia ya 5G, vile vile Huawei ndio wanamiliki takribani asili mia 90 ya patents za 5G i.e intellectual properties (IPs)hivyo washindani wao wakitaka kuzitumia watalazimika kuzikipia patents au kukataliwa kupewa kibali na Huawei - kwa kifupi hivi sasa kampuni ya Huawei ndio imeshikiria mpini wa teknolojia hii, kampuni za Sweden, Finland na America zimeshindwa kabisa data throughput kufikia au kuzidi za Huawei kutokana na teknolojia yao kuwa ni improvised 5G i.e not a truly 5G ndio maana ziko dead slow compared na Huawei.

Bottom line is: All Nations around the World should have a choice - aidha wakubali kupotoshwa na fitina za kibiashara za America kuhusu Huawei huku wakijua kwamba watakuwa stuck na teknolojia ya ulaghai ambayo sio truly 5G au wakubali kununua teknolojia ya 5G kutoka kampuni ya Huawei ili wasibaki nyuma kimawadeleo - chaguo libaki kwa mataifa yanayo husika bila ya kushinikizwa na USA kutokana na uchoyo na roho ya kwa nini yenye lengo la kutaka kuididimiza kiuchumi China - hivi sasa Dunia imekwisha shitukia fitina za USA juu ya kampuni ya Huawei - crusade ya Trump na wenzake dhidi ya Uchina zita shindwa eventually.
Kwamba kuna original 5G ambayo inamilikiwa na Huawei na fake 5G ambayo inamilikiwa na makampuni mengine? Kwamba ukitaka 5G basi ni Huawei ila hizo nyingine ni fake 5G? Hii umeitoa wapi mkuu?
 
Tena mkuu unaambiwa wamepiga mahesabu ni kuwa wakijitoa mikataba na huawei itabidi wakae zaidi ya miaka mitano ili kufikisha lengo lao alaf pia kutakua na hasara za billions of dollars kila nchi itayojitoa na mikataba hio
Well said mkuu, thank you - tatizo linalo kumba wengi wetu ni kushindwa kutofautisha propaganda za main stream media za huko Merikani na hali alisi ya nani anaongoza Duniani katika masuala ya uundaji wa 5G radio transceiver zinazo tumiwa na service providers wa cellphone networks - ukweli wa mambo ni kwamba kampuni ya Huawei ndio unaongoza katika teknolojia ya 5G, vile vile Huawei ndio wanamiliki takribani asili mia 90 ya patents za 5G i.e intellectual properties (IPs)hivyo washindani wao wakitaka kuzitumia watalazimika kuzikipia patents au kukataliwa kupewa kibali na Huawei - kwa kifupi hivi sasa kampuni ya Huawei ndio imeshikiria mpini wa teknolojia hii, kampuni za Sweden, Finland na America zimeshindwa kabisa data throughput kufikia au kuzidi za Huawei kutokana na teknolojia yao kuwa ni improvised 5G i.e not a truly 5G ndio maana ziko dead slow compared na Huawei.

Bottom line is: All Nations around the World should have a choice - aidha wakubali kupotoshwa na fitina za kibiashara za America kuhusu Huawei huku wakijua kwamba watakuwa stuck na teknolojia ya ulaghai ambayo sio truly 5G au wakubali kununua teknolojia ya 5G kutoka kampuni ya Huawei ili wasibaki nyuma kimawadeleo - chaguo libaki kwa mataifa yanayo husika bila ya kushinikizwa na USA kutokana na uchoyo na roho ya kwa nini yenye lengo la kutaka kuididimiza kiuchumi China - hivi sasa Dunia imekwisha shitukia fitina za USA juu ya kampuni ya Huawei - crusade ya Trump na wenzake dhidi ya Uchina zita shindwa eventually.

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
We tulia uone, ili Ulaya ifanye mchina anachofanya zinaungana nchi mfano: Space programs wanaungana lakini mchina anafanya yake na space station anatengeneza yake peke yae, ulaya waliungana kutengeneza mfumo wa positioning kama wa marekan (GPS), Mchina one man army katengeneza wa kwake. Sasa hivi wanazifanyia test ndenge za abiria japo itachukua muda mpaka zikubariwe.
Sasa fikiria nchi iliyokuwa chini sana imetawaliwa na Japan imesumbuliwa na Muingereza, ilikuwa chini huku imefika hapo ina reserve kubwa ya dollar unategemea nini kitafuata.
Tegemea innovation zaidi na kuwa na ushawishi mkubwa zaidi.
Unajua kuwa hizo ndege ya abilia engine anaprovide nani?
 
Hata engine za baadhi ya ndege za boeng anazitengenezwa rolls royce ambaye ni Muingereza sasa hapo ajabu ni nini mchina akioutsource engine?
Hajui pia kabla ya Ellon Musk kuingilia kati NASA walitumia engine na roketi za mtu gani kwenda ISS
 
Huawei tangu ipigwe ban na USA imepata hasara zaidi ya $ 12 billion,na washirika bado wanaendekea kuunga mkono US,nipe mafanikio ya kampuni kuendelea wakati inaendelea kupata loss kubwa na athari za ban zinaongezeka
 
Back
Top Bottom