Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,059
- 11,106
Nasubiri WHO wathibitishe
Ki ukweli wengine imelamba ajira zetuitakuwa vizuri kama ni kweli, hi janga ni hatarii
polee sana, ni kweli hili janga limeathiri watu wengi sana. Bila shaka likipita tutarejea tulipokuwa.
Limbwata linafanya kazi gani mkuu, limbwata ni uchawi unaomfanya mtu anakua chizi mkuuKwani limbwata WHO waliithibitisha?
Lakini inafanya kazi
TAFUTA MTU YOYOTE UMLAUMU...!
😂😂😂😂Kwani limbwata WHO waliithibitisha?
Lakini inafanya kazi
TAFUTA MTU YOYOTE UMLAUMU...!
Wa-Italy wanasema ni fake news. Hamna chombo hata kimoja cha ndani cha Italy kilichoreport hii. But kama ni kweli, hii ni good news.
Kweli mkuu. Jinsi Italy walivyo pigwa na Corona sidhani kama watasubiri mtu yoyote kuhakiki hio chanjo.Hiki siyo kipindi cha kutegemea sana WHO, sijawahi liamini hili shirika, acha Italia wapambane. Muda si mrefu game litamalizika.
VIP na ya kule Madagascar ? MkuuSio rahisi hivyo kupata chanjo,,hata Israel kila siku anagundua chanjo na tiba ya corona,,hizi Ni fake news
I'll sio chanjo,Ni tiba ya asili Kama ilivyo tiba ya tangawizi na malimao,,haina uhakika wa 100%
Hizi peopaganda umezitolea wapi MKUU(leta ushahidi wahizi shutma WHO walishaweka wazi kwa US yakwamba walete kila ushahidi wawanayo yatuhumu juu ya UCHINA mpaka sasa hawajaleta) ?!?....WHO wamekula rushwa toka china ili wapinge kila juhudi za watafiti ili ugonjwa uzidi kuonekana kuwa nitishio....and still bado mna waamini?
Nilikua nimeshashangilia janga limekwisha.Wa-Italy wanasema ni fake news. Hamna chombo hata kimoja cha ndani cha Italy kilichoreport hii. But kama ni kweli, hii ni good news.