Italy claims 1st COVID-19 Vaccine

WHO wamekula rushwa toka china ili wapinge kila juhudi za watafiti ili ugonjwa uzidi kuonekana kuwa nitishio....and still bado mna waamini?
 
Sio rahisi hivyo kupata chanjo,,hata Israel kila siku anagundua chanjo na tiba ya corona,,hizi Ni fake news
 
WHO wamekula rushwa toka china ili wapinge kila juhudi za watafiti ili ugonjwa uzidi kuonekana kuwa nitishio....and still bado mna waamini?
Hizi peopaganda umezitolea wapi MKUU(leta ushahidi wahizi shutma WHO walishaweka wazi kwa US yakwamba walete kila ushahidi wawanayo yatuhumu juu ya UCHINA mpaka sasa hawajaleta) ?!?....

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom