Italia yatangaza Baraza la Mawaziri la Mpito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Italia yatangaza Baraza la Mawaziri la Mpito

Discussion in 'International Forum' started by MAMMAMIA, Nov 16, 2011.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Waziri Mkuu Mteule wa Italia, Mario Monti, ametangaza baraza jipya la mawaziri ambapo mawaziri wote ni wasomi na wataalamu, wengi wao ni Doctors na Professors. Kila la heri Italia!
  Huwa ninajiuliza, kwa nini (takriban) duniani kote serikali zinaongozwa na wanasiasa na sio wataalamu. Nani angepaswa kuongoza nchi?
   
Loading...