Italia kuwajengea nyumba wahanga wa tetemeko la ardhi

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Nimesikia serikali ikitoa mfano kuwa hata Italia serikali haikuwajengea wananchi makazi yao. Lakini kauli hiyo si kweli kwani serikali ya Italia imesema itajenga kila kitu upya katika eneo lililopatwa na tetemeko.

Swali : Serikali imepata wapi taarifa hizo zisizo sahihi na kumpa mkuu azitumie?

Hata kama rambirambi hazikufika, serikali isitafute mchawi, wananchi wa kagera hatuhitaji kujengewa nyumba zetu bali tunahitaji ushirika na serikali kuhakikisha tunafarijika na tunapata nguvu ya kujenga nyumba nzuri zaidi.

=========================================

ROME — Italian Prime Minister Matteo Renzi promised Sunday to rebuild after the most powerful earthquake to strike the country in 36 years toppled ancient buildings and left thousands of people seeking assistance and preparing for aftershocks.

Some injuries were reported, but no deaths had been linked to the 6.6-magnitude quake, which struck northeast of Rome at 7:40 a.m. (2:40 a.m. ET).

"We will rebuild everything — the houses, the churches, the shops," Renzi said at a news conference Sunday, according to The Associated Press. "We are dealing [with] marvelous territories, territories of beauty."

The jolt rattled a country still recovering from a pair of quakes Wednesday and from August's temblor that left almost 300 dead. Seismologists in Italy and Britain told the AP that more could be on the way.
"We cannot exclude the possibility of larger magnitude aftershocks," Margarita Segou of the British Geological Survey said, citing a series of quakes in Japan earlier this year.
On Sunday morning, nuns rushed out of their church in the central town of Norcia as the clock tower appeared about to crumble In Rieti, hospital patients fled into the street and and huddled outside under blankets.

Related: Another Powerful Quake Hits Italy: Why Did No One Die?

The U.S. Geological Survey initially measured the quake at 7.1 but revised it to 6.6. The European-Mediterranean Seismological Center put the magnitude at 6.6 or 6.5, with an epicenter about 100 miles northeast of Rome.

The country's civil protection agency said the epicenter was between Macerata and Perugia, close to the towns of Castelsantangelo, Norcia and Preci, which were most affected by Wednesday's quakes.

Monks in Norcia, who have been raising money to fix up their centuries-old monastery by brewing their own beer, said the building — weakened by recent temblors — had finally been destroyed in Sunday's quake.
"It's as if the whole city fell down," Norcia city assessor Giuseppina Perla told the news agency ANSA. The city's ancient walls suffered damage, as did another famous Norcia church, St. Mary Argentea, known for its 15th-century frescoes.

The mayor of Ussita said 90 percent of houses in the town had been destroyed, La Repubblica reported.
Many residents in affected areas still were sleeping in cars or had been evacuated to shelters or hotels in other areas following last week's jolts, leaving the most quake-prone historic centers largely empty.

Still, nearly 8,000 people from the region had sought help from the civilian protection agency by Sunday night, the AP reported, and 3,000 more were expected to ask for assistance overnight.

In Rome, cracks appeared and bits of the ceiling fell in the Basilica San Paolo, a historic church and major tourist draw, ANSA reported.

"It is since 1980 that we have had to deal with an earthquake of this magnitude," said Fabrizio Curcio, head of the civil protection agency.

Curcio was referring to a 6.9-magnitude quake in a different region that includes Naples, which killed 3,000 people and caused extensive damage in November 1980.

Source: NBC News
 
Hahaa zile bilioni 10 na zaidi zingetosha kabisa make nyumba zenyewe sio kwamba zilikuwa ni Magorofa ya Bilioni.
 
tapatalk_1469899153309.jpeg
 
Nyumba mbovu ni 2000........

bilioni 16,000,000,000/2000= 8,000,000

Hii pesa ingetosha kwa kila kaya kupata vifaa vya nyumba angalau ndogo wakati wakijipanga........

Swala la kuhoji kwanini serikali ichangiwe pesa na wananchi ya kujenga miundombinu wakati wananchi waliochangiwa wanalala nje?.........
 
Nimesikia serikali ikitoa mfano kuwa hata Italia serikali haikuqajengea wananchi makazi yao. Lakini kauli hiyo si kweli kwani serikali ya Italia imesema itajenga kila kitu upya katika eneo lililopatwa na tetemeko.

Italian prime minister promises to rebuild after powerful quake

Waziri mkuu wa Italy Jumapili anasema nanukuu
We will rebuild everything — the houses, the churches, the shops," Renzi said at a news conference Sunday, according to The Associated Press. "We are dealing [with] marvelous territories, territories of beauty.
 
Nyumba bilion 16,000,000,000/2000= 8,000,000

Hii pesa ingetosha kwa kila kaya kujengewa nyumba angalau ndogo wakati wakijipanga........

Swala la kuhoji kwanini serikali ichangiwe pesa na wananchi ya kujenga miundombinu wakati wananchi waliochangiwa wanalala nje?.........
Nyumba ya shilingi milioni nane inajengwaje mjini? Mnapenda sana kurahisisha mambo.
 
Nyumba bilion 16,000,000,000/2000= 8,000,000

Hii pesa ingetosha kwa kila kaya kujengewa nyumba angalau ndogo wakati wakijipanga........

Swala la kuhoji kwanini serikali ichangiwe pesa na wananchi ya kujenga miundombinu wakati wananchi waliochangiwa wanalala nje?.........

acha kupinga serikali wewe...serikali kila inalofanya ni jema...Ninyi CHADEMA mmezoea kupinga kila kitu
 
Nyumba bilion 16,000,000,000/2000= 8,000,000

Hii pesa ingetosha kwa kila kaya kujengewa nyumba angalau ndogo wakati wakijipanga........

Swala la kuhoji kwanini serikali ichangiwe pesa na wananchi ya kujenga miundombinu wakati wananchi waliochangiwa wanalala nje?.........
Na endapo wananchi wangejua serikali itawafanyia hivyo wasingechanga hata sent moja.
 
acha kupinga serikali wewe...serikali kila inalofanya ni jema...Ninyi CHADEMA mmezoea kupinga kila kitu
Michango ya maafa bukoba ilitolewa kwa lengo la kuwasaidia wananchi si kwa ajili ya mengine ambayo ni jukumu la serikali na wanapingana na matumizi ya hizo pesa si wanachama wa chadema bali ni watanzania wote bila kujali itikadi.
 
Kwa hiki kilichoonyeshwa Bukoba huenda kikawafanya wananchi kuwa wagumu kuchangia maafa huko mbeleni kwa kuhofia michango yao kuchukuliwa kwenda kufanya yaliyokuwa kinyume na lengo la michango yenyewe.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom