Itakuwaje nikikimbia kwa speed kali zaidi ya mwanga?

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,720
1,639
Itakuwaje nikikimbia kwa speed kali zaidi ya mwanga? Ikiwa kuna speccial body protector, na nikauzidi mwanga kwa speed, kinaweza kutokea nini au naweza kuona nini?
 
ukiweza kufanya hivo unaweza wakurudisha miaka nyuma au kwende mbele kwa nazalia ya kifizikia.hata ni rahisi kuto honekana machoni mwa watu.
hata kufikia nyota nyengine ambayo kuifikia ni miaka milioni 1
 
Utaongezeka uzito na hivyo itakufanya ushindwe kufikia speed ya light. E=mc2
 
Utaingia kwenye Book Of Records kama kiumbe na kijitu chenye speed kupata kutokea.

But thoroughly impossible.
 
nakuambia koromije utakua unafika duration ya nanoseconds kadhaa

kwa hiyo speed 2018 utafika sisi bado tuko mwezi wa tatu
 
  • Thanks
Reactions: R.K
Itakuwaje nikikimbia kwa speed kali zaidi ya mwanga? Ikiwa kuna speccial body protector, na nikauzidi mwanga kwa speed, kinaweza kutokea nini au naweza kuona nini?

Huwezi kukimbia hio speed...
Huo muda unaowaza hivyo ungewaza mambo ya msingi ya kukuingizia kipato uwe na maendeleo mara 10 zaidi ya leo
 
Ukiweza kuachive hyo speed ya mwanga au zaidi unaweza kupita kwenye kioo bila kioo kuvunjika, kama ukapewa protection materials ungeweza kutoka duniani mpaka kwenye jua kwa dakika 8 tu
 
kitu kama icho aliwahi kuexplain eistein kweny hii ktu
E=MC2,results zak ni hiz
weight itapungua
urefu (size) itapungua
speed itaongezeka
kwa maana hiyo jamaa anampinga waz waz jesus kwamba ngamia anaweza akapita kweny tundu la sindano km vgezo hapo juu vikizingatiwa.results nyngne wadau wameelezea vzur hapo juu
Mm navoona hii ktu sasa iv n km stor but kna siku itawezekana tu
 
Back
Top Bottom