Itakuwaje mkeo akigundua kuwa wewe ndio mtetezi wa infidelity na tigo hapa JF?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,820
Mkeo au hata mzazi wako akigundua kuwa hapa jamvini wewe ni kutetea matumizi ya tigo na ufirauni, pia ni mtetezi wa ngono nje ya ndoa.
Sipati picha.
 
atajua tu kwamba everything you say may be fake, kama vile ID unayotumia, location uliyoweka, msimamo wa kisiasa na kijamii na hata vitu unavyosifia
 
totally agree with u. japo wakati mwingine nawaza, Bible inasema '' awazavyo mtu ndivyo alivyo..'', sijui inakuwaje hapa. Ila kiukweli, mahali kama hapa huwezi kuijua true character ya mtu

very true aisee

Yaani hapo nilikua najipa moyo tu, maan mie ndivyo nitakavyojibu.... that everything you see hapo ni character iliyo fictitious

Kila kitu humu JF kina sura mbili, ya kweli na ya uongo
 
haina shida ataelewa tuu kuwa jamaa wake ni waukwel na hana tatzo so atazoea ila mh!
 
Anaweza akafurahi kama nae ni mpenzi/mshirika wa hayo mambo kisirisiri!!Kama sio ndo hivyo tena ataanza kukuangalia na kukufikiria tofauti na ilivyokua mwanzo!
 
Anaweza akafurahi kama nae ni mpenzi/mshirika wa hayo mambo kisirisiri!!Kama sio ndo hivyo tena ataanza kukuangalia na kukufikiria tofauti na ilivyokua mwanzo!

nichoolewa chake mtu humpa tabu kinapokuwa katika componetial analysis marked by -ve na humpa raha kinapomark +ve. Atamake choice if she fail the choice will make her. Maana wenye tabia hizo hujuana wao wenyewe.
 
Itabidi ufanye kazi ya ziada maana wapo ambao wana ID mbili tofauti wengine wanajidai ni madem wakati sio wengine wanajidai maman wakati sio!Ni kazi kumjua!
 
Kwa mwanaume kugundulika anatumia ID gani ni ngumu. Ila kwa sisi wanawake, mme akikubembeleza kidogo tu unatoa siri zako zooote. Ndio maana mimi najitahidi kuwa makini na michango yangu. Maana siku Mr akinibana nampa kila kitu.
 
Nyumba Kubwa bana! Humu hakuna cha mwanaume wala mwanamke. Watu kibao, wake kwa waume, wana majina zaidi ya moja.

Kwa hiyo hata kama mwezako akikugundua kwa ID moja na akakupa kila kitu kama ulivyosema, haina maana hana ID nyingine ambayo huijui.

JF ni msitu wenye kiza kinene. Usije shangaa siku moja ukajua kumbe hata huyo mumeo naye yupo humu.
 
kuna watu ambao hubeba nafsi tofauti za muonekano. Akiwa home anakuwa mpole na mwema kiasi kwamba hata ikitokea kupelekwa kesi kwao inayoendana na mazingira halisi ya mtaani inakuwa ngumu kuaminika.
Hivyo kwa mtu muelewa lazima ataamini kuwa ''awazavyo mtu ndivyo alivyo..''
 
Sikuwazia kabisa kuwa watu wana more than one ID. Nachotaka kusema mimi si msiri; kwa hiyo nikiombwa PW natoa tu. Ila kwa mtu mwenye muda wa kufuatilia threads za mtu ni rahisi ku connect kuwa this is the same person with different IDs. Mimi kwa mfano kuna mtu nimeshamjua real ID yake tokana na story anazopenda kusimulia. I hope am right. Mfano mdogo wako ambae mko close au mke/mmeo akiwa humu utamjua tu unless awe ni msanii kweli kweli.

Back
Top Bottom