Itakuwaje Jeshi Likichukua Nchi.

Domo Kaya

JF-Expert Member
May 29, 2007
531
59
Ndugu watanzania, mimi kama muathirika wa hii hali ngumu ya maisha bora kwa kila Mtanzania naona bora JESHI LA WANACHI TANZANIA wachukue nchi hata kwa Miaka mitatu (3) tu, na baada ya hapo nadhani tutatia adabu na sheria zote zitafuatwa.

Hapo itakuwa hakuna rais mstaafu wala rais mwenyewe amri ni moja tu, siku jeshi likiamua foleni imezidi watu watembee kwa miguu basi ni wote tunapiga kwato tu, wakisema kulala saa kumi na mbili hivyo hivyo.Kila kitu kijeshi jeshi tu.

Nadhani baada ya hapo nchi ikirudishwa kwa Marais adabu itakuwepo, maana kwa sasa nchi inaongozwa na wenye fedha tu, Kikwete yupo pale ikulu kama ushahidi tu kwamba Tanzania tuna Rais, lakini nini kifanyike wenye fedha ndio wanaamua. HIVI KWA MPANGO HUU TUTAFIKA KWELI? AU NDIO ULE USEMI TAJIRI ATAENDELEA KUWA TAJIRI NA MASIKINI ATAENDELEA KUWA MASIKINI MILELE.?

TUJADILI.
 
duh mzee, Wanajeshi wetu ingebidi washirikishwe kwenye shughuli za maendeleo maana naona wengi wako tuu kambini hawana shughuli ya maana.
 
This is treasonous.I am against this based on the following.

1.Italeta precedent mbaya ya kutumia force kutatua matatizo.

2.Jumuiya ya kimataifa itatutenga kutokana na uharamu wa serikali za kijeshi katika dunia ya leo.

3.Nchi yetu inategemea misaada ya nje kwa asilimia kubwa ya bajeti, serikali za kijeshi huwa zinakosa legitimacy ya kuendelea kupata misaada.Tutakosa misaada na kuumia maradufu ya hivi sasa.

4.Jeshi litaondoa uhuru mdogo wa habari tulionao.Hata kuandika JF hapa ukiwa bongo inaweza kuwa issue.

5.Most probably katiba itakuwa suspended na hali ya hatari itatangazwa.If you thought Buzwagi and IPTL was bad wait til ma soldier wenye usongo wasio na supervisor watakapochukua nchi bila ya kuwa na boss.

6.Hakuna mfano wa nchi yoyote Afrika ambapo jeshi lilichukua nchi na kui-turn around for the better.
 
hehehe i see ur point abt kutokuwa na uraisi kwetu bali mwakilishi wa wenye nazo...dats true...

ila tuu serikali za kijeshi...mweeemwenzangu wala tusizitake kabsaaa maana zina negative impacts nyingi sana
 
Back
Top Bottom