Uchaguzi 2020 Itakuwaje CCM wakifanya hivi 2020?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
Mara paap...CCM wafanye maamuzi magumu..ili kukiokoa chama...na kuwachanganya wapinzani kama mwaka 2015...

Mara paap...RAIS MSTAAFU KIKWETE KUWA MGOMBEA WA URAIS KWA MARA NYINGINE TENA...

Sijui itakuaje...? Hebu nieleze nini kitatokea...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wanaopata taabu kwa maamuzi mabovu ya viongozi ni wapinzani au watanzania wote kwa ujumla?
 
Ccm ni chama chenye hulka ya kulindana sana na wanajuana kwa vilemba hivyo ni aghalabu kugeukana. Hayo unayoyawaza, hayawezi kutokea kabisa. Mgombea urais mwakani anafahamika na hana mpinzani ndani na nje ya chama. Atashinda kirahisi tu.

Tujiandae kwa uchaguzi na mabadiliko 2025; iwapo ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba basi yanaweza kutokea tena yale ya 2015.
 
Mara paap...RAIS MSTAAFU KIKWETE KUWA MGOMBEA WA URAIS KWA MARA NYINGINE TENA...

Sijui itakuaje...? Hebu nieleze nini kitatokea...?
Bar zote zitajaa na mitaa yote itafungwa kwa kunywa, sherehe, nderemo na vifijo.

Lakini si hivyo tu, hata ikitokea ...mara paaaa! Jiwe kavutwa na malaika mtoa roho, halafu akaaga dunia. Utashangaa kuona kuanzia mawaziri mpk mwananchi wa chini kabisa wanasherehekea.
 
Allah ndio muamuzi wake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bar zote zitajaa na mitaa yote itafungwa kwa kunywa, sherehe, nderemo na vifijo.

Lakini si hivyo tu, hata ikitokea ...mara paaaa! Jiwe kavutwa na malaika mtoa roho, halafu akaaga dunia. Utashangaa kuona kuanzia mawaziri mpk mwananchi wa chini kabisa wanasherehekea.
Watalia sana kwenye hadhara ila watafrahi sana popote wasipoonekana!
 
Mara paap...CCM wafanye maamuzi magumu..ili kukiokoa chama...na kuwachanganya wapinzani kama mwaka 2015...

Mara paap...RAIS MSTAAFU KIKWETE KUWA MGOMBEA WA URAIS KWA MARA NYINGINE TENA...

Sijui itakuaje...? Hebu nieleze nini kitatokea...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Majipu utayajua tu, Awamu huu lazima mtumbuke tu, hakuna jipu litakalosalia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom