Itakuwa vipi ukisajili gari na namba yenye herufi za CCM

Ngatele

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
808
704
Namba za usajili wa magari kwa sasa zimefikia herufi za kuanzia na C, sina hakika kama zimeishafikia CCM but I think bado hazijafika CDM. Wewe kama mwanachama au mpenzi wa CDM utajisikia vipi utakaponunua gari na wakati huo namba za usajili wa gari yako zikawa na herufi za CCM, mfano ukapewa namba T125CCM!!!???
 
Gari kama dini haina uhusiano na siasa. Nitaendelea na gari langu bila kujali hizo namba za kutafutia watu ulaji.
 
Namba za usajili wa magari kwa sasa zimefikia herufi za kuanzia na C, sina hakika kama zimeishafikia CCM but I think bado hazijafika CDM. Wewe kama mwanachama au mpenzi wa CDM utajisikia vipi utakaponunua gari na wakati huo namba za usajili wa gari yako zikawa na herufi za CCM, mfano ukapewa namba T125CCM!!!???

Nitafurahi sana!
 
Umenitega mbaya jombaa,mi hata hizo rangi za kijani nina aleji nazo sasa hapo sijui nikujibuje sasa.
 
Hilo gari inabidi kabla ya kuliendesha lifanyiwe maombi ya kufunguliwa pepo la ujinga,ufisadi,ulafu na uzembe wa kufikiri,mara nyingi majina yana mahusiano,ndo maana huweza vaa shati limeandikwa HIV hata kama zuri kiasi gani hutakuwa huru kisaikolojia,ama lenye acronmy s.t.u.p.i.d then ukaona raaaha.kiukweli namba zikifikia hapo inabidi ziwe reserved kwa magari ya magamba na za CDM hivyo hivo si wanaleta magari!
Maoni tu haya bandugu,tupendane
 
Nawashauri kwa wale wenye mpango wa kununua vyombo vya moto nunueni mapema msije kupata plate namba za ajabu mfano T252 UKE GAY SEX TBC RTD CCM ITV
 
Namba za usajili wa magari kwa sasa zimefikia herufi za kuanzia na C, sina hakika kama zimeishafikia CCM but I think bado hazijafika CDM. Wewe kama mwanachama au mpenzi wa CDM utajisikia vipi utakaponunua gari na wakati huo namba za usajili wa gari yako zikawa na herufi za CCM, mfano ukapewa namba T125CCM!!!???

Nadhani wataamua kuziruka hizo namba za CCM au CDM
 
Back
Top Bottom