Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

Hakuna ubishi kabisa watu wengi wanaoneza uongo juu ya Taifa letu ni watumiaji wa mtandao wa Twitter.

Huko kuna watu wabaya sana ambao nafikiri sababu wengi wao wanaishi nje ya nchi basi muda wote ni kueneza propaganda za uongo na kutukana viongozi.

Mbona China waliifungia baada ya kuona inahatarisha usalama wa nchi yao? Maana watu wanatengeneza picha za uongo ili kuleta chuki dhidi ya serikali haifai kabisa kwa Tanzania.

Mfano hata kama mtu amepigwa risasi hivi kweli risasi inaweza kutoboa kifua cha mtu tundu la nchi nne?

Wengi wa hawa watu wanaotukana viongozi wapo nje ya nchi, wanatukana viongozi na kupotosha umma juu ya masuala mengi tu,hata kipindi Covid 19 inaingia Tanzania walipotosha watu kwa uongo mwingi na kutengeneza video za uongo.

Kwa hiyo serikali sikivu ya CCM ifunge Twitter maana siku za usoni italeta balaa kwenye nchi yetu.

Leo sina mengi najua litafanyiwa kazi na sasa naenda kijiweni kunywa kahawa na Alikasusu. Nafikiri wadau kijiwe mnakifahamu.

Kwahiyo tutatakuwa kuwa kama China! ambako hakuna huru, wafunge na makanisa kama china na kupeleka wasilamu kwenye mageraza. Wafungue clinics za kutoa mimba kama China basi. Wakati mwingine hamjui hata msimayo China kama utakama tuwe vile utajuta. Nyerere alishidwa kufanya Tanzania kuwa china
 
Bogus
 
Back
Top Bottom