Itakua amekula "my wife" wa huyu mjeshi tu lazima,ebu ona hili tifu aloh!

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,348
5,977
FB_20171107_22_45_05_Saved_Picture.jpg
 
Kuna waziri mkubwa mstaafu anaweza kutuambia maana wana style sawa hawajulikani kama wanalia, wamenuna, wanacheka nk.

Na yeye ndo alisema huyo jamaa apigwe tu maana hakuna namna
 
Acha tu ibaki... Hii imefanyika kwa uwazi tena mchana kweupe huko kwa wenzetu... Usifikiri haya mambo Tanzania hayapo... Muulize Roma atakuambia... Ama wale waliowahi kuchukuliwa na kwenda kufichwa mahali kwa mahojiano
Sijasema hayapo najua yapo na mabaya zaidi ya hayo ila bado hazifai, kwa kuheshimu utu ni Bora zitolewe.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom