Ume-Pinda mkuuKuna waziri mkubwa mstaafu anaweza kutuambia maana wana style sawa hawajulikani kama wanalia, wamenuna, wanacheka nk.
Na yeye ndo alisema huyo jamaa apigwe tu maana hakuna namna
Pamoja na kumuita mnyama hayawani na binadamu kiumbe mstaarabu... Lakini mnyama hawezi kufanya hivi
Acha tu ibaki... Hii imefanyika kwa uwazi tena mchana kweupe huko kwa wenzetu... Usifikiri haya mambo Tanzania hayapo... Muulize Roma atakuambia... Ama wale waliowahi kuchukuliwa na kwenda kufichwa mahali kwa mahojiano@mods toeni hii picha haifai
Sijasema hayapo najua yapo na mabaya zaidi ya hayo ila bado hazifai, kwa kuheshimu utu ni Bora zitolewe.Acha tu ibaki... Hii imefanyika kwa uwazi tena mchana kweupe huko kwa wenzetu... Usifikiri haya mambo Tanzania hayapo... Muulize Roma atakuambia... Ama wale waliowahi kuchukuliwa na kwenda kufichwa mahali kwa mahojiano
Kuheshimu utu wa nani? Mteswaji au mtesaji?Sijasema hayapo najua yapo na mabaya zaidi ya hayo ila bado hazifai, kwa kuheshimu utu ni Bora zitolewe.
Kweli kabisa,nadhani kuna watu wengi wengi humu jf wana tatizo la SADISM ila bado hawajijua tu.@mods toeni hii picha haifai