Itakiwaje nikipata kazi, nini kitakuwa kipaumbele changu?

Therichman

Member
Sep 16, 2016
31
42
KAZI HII HAPA, NAJIULIZA ITAKUWAJE NIKIPATA KAZI, NINI KITAKUWA KIPAUMBELE. Mwenyezi Mungu nisaidie.

Wanajamvi habarini
Ni katika kutafakari kwangu kwa kuwa nimekuwa nikitamani sana kupata kazi ambayo itanifanya niweze kujitegemea na kukamiilisha ndoto zangu. Sasa nimefikiri nimewaza na kuwazua kuwa nini kiwe kipaumbele changu

Je ni dem wangu aliyekuwa akilalamika kuwa kila siku simjali kwa kuwa amekula ahadi zisizotkelezeka na jana alinipiga biti ya kuniacha kwa kuwa nilimdanganya sina kazi bt ninafanya kazi ya kujitolea ktk kampuni moj na ipo karibuni kuniajiri ilihali nikiwa nnajua serekali yangu tukufu imekuwa ikitoa matamko ya kukinzana kuhusu swala la ajira?
Je ni kuwekeza ktk project zangu nilizonazo ili kugenerate income ya kutosha ili kuepukana na utegemezia wa ajira? au

Je ni kuwasaudia wazazi na nduu zangu walio na matarajio makubwa ktk elimu yangu ya chuo kikuu walionisomesha kwa fedha za kuunga unga? au

Je iwe ni ktk kununua gari na pamba za dhamani nilizotamani kumiliki kama pongezi kwa hustling niliyoipata kwa takribani miaka 15 ya kusoma huku nikiwa sina uniform nzuri, likizo ni shamba , migomo ya shuleni na lot of frustration, wkt baadhi ya wenzangu niliowaacha kitaa wakiwa wamenipiga gap kubwa la maendeleo? Au

AU nijitose niachane na kutafuta na hata wakinipanga nisiende nikomae na mzee anipee ahata kamtaji ka m1 nianze ku bussness kimpamgo wangu huku nikitumia akili ya juu kama msomi ninayefikiri nje ya box, japokuwa nikifail hapa nitaonekana msomi- fala ila nikiwin kila mtu atanipa respect?

Au nizamie nchi za nje kama Kenya nikatafute maisha from 0 ilihai nikiwa sina hili wala lile bt najua nikiamua tu inawezekana nikaenda na nikafanya wonders japokuwa tatizo ni uwoga na kutokuamua na kufanya?

NAJUA HUMU WAKO WENGI WENYE MTAZAMO NJIAPANDA KAMA MM, WATAALAM NJOONI MTUPIGE STARTER TUJUE PA KUANZIA NA MUNGU WANGU WA MBINGUNI ATAWABARIKI
 
Back
Top Bottom