Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,923
- 8,314
Ukipita mtandaoni kuna wale wenzetu wenye uhakika wa kula na kunywa kila mwezi hata wasipotoka nje wanalilia tufungiwe ndani "lockdown "
Kuna wale wenzangu na mimi hana hata debe moja la mkaa anategemea kwenda kununua ule wa jero kwa mama matarumbeta na yeye ana lilia lockdown Kwasababu tu ya Mkumbo wa kisiasa
Hawa wenzetu wana ajira permanent Wengi ni waajiriwa hawa ndio wapo mstari wa mbele kushinikiza serkali itangaze lockdown sikatai
Hili ni kundi la watu wabinafsi sana wanajiangalia wao tu lakini wanasahau asilimia kubwa ya Watanzania ni wa uchumi wa nipe nikupe bila kutoka unalala njaa
Hii inamaana ikitangazwa lockdown wana dar es salam takrbani milion nne wanakuwa katika hatari ya kufa nja
Lkn upande wa Pili serkali ikitangaza lockdown hata ya mwezi mmoja tu, amini usiamini wataanza kulaumu Serkali inawanyanyasa na kuwanyima Uhuru, wengine wataenda kushitaki kwa bwana mkubwa USA kuwa serkali inatuminya
Ila kitu cha muhimu serkali inawajua Watu wake inawajua ni watu wa maneno mengi yasiyo kuwa na uhalisia
Tunaomba serkali isitufungie Ndani, bali Tuendelee kuchukua tahadhari zinazotolewa kukabiliana na adui ambaye Tunakaribia kimshinda
Watanzania tuna kipaji cha kulalamika ukiwasikiliza sana unapoteza mwelekeo
Kwa maoni yangu ni bora watu miatano waathirike kwa corona kuliko watu milion tano kufa njaa
Corona Tunakaribia kukushinda