It will now be mandatory for foreigners to have a Covid-19 certificate before entering the country

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Kenya has announced stringent immigrations measures aimed stemming the spread of new Covid-19 variants into the country.

Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe says it will now be mandatory for foreigners to have a Covid-19 certificate before entering the country adding that Kenya has adopted a restrictive protocol to have foreigners traveling into the country to have a covid-19 certificate.

“Those who are abroad including foreigners if they want to come to our country Kenya, they must be vaccinated for them to gain entry,” he said speaking at a school fundraiser in Kisii county on Sunday.

The health Secretary denied making vaccination mandatory but warned it was more than necessary.
“If you have not been vaccinated and you want to enter a plane, a car or even government offices. If you want to come to my office like that do not come, just call,” Kagwe said.

Cognisant of the ongoing campaigns and the forthcoming electioneering calendar, Kagwe challenged the political class to use their political rallies to urge their supporters to get vaccinated and take advantage of the influence they have on the masses and the crowds they attract in their political rallies.

“I urge all politicians, even before we start talking about politics in every meeting, you should start by encouraging people on being vaccinated,” he said.
 
taifa limekaa kalantini hili na bado wanaambukizana, na utafikiri wana mbadala wa kuendesha uchumi wakiwa manyumbani,
 
Wapo walio na ujuzi zaidi bila utalamu husika. Tena bila hata ajizi wanajiita wana uwezo zaidi wa kufikiria.

#COVID19 - Corona: Wasiochanjwa ni kichocheo kwa Virusi Hatari zaidi

Sampuli zao kwa utambuzi:

Meneja Wa Makampuni, Nyumisi, mjingamimi, KingCobra95 na binamu zao.

Ni hayo tu mheshimiwa Jaji.
 
Usilazimishe kuniingiza kwenye mlengo wa watu wenye hila ambazo ziko wazi pasi na kutumia akili ya kudadisi.......kila aina ya hila na uovu utawekwa wazi.

Hujaingizwa popote ila umetambuliwa kwa kudhani mwenye akili za kudadisi ni wewe.

Angalizo: leo serikali imeingizana kwa kushtukiza kutambua kuna wimbi la omicron watu wazingatie ya wataalamu.
 
Sawa, endeleeni kuwaelimisha wazingatie ya wataalamu.......
 
hawa jamaa yaani jumlisha kizungu mingi wanajikuta ni kama wako Majuu yaani ...

Mkenya bora akose kwenda mbinguni ila sio USA ndio maana hata mambo yao wana act kama Wazungu vile

hawa jamaa bhana 🙌
 
Kwamba wao watubane kuingia kwao bila certificate ya kuchanjwa, ila wao waingie Kenya watakavyo kiholela holela bila presha? Mbona huo ni kama ukichaa flani hivi wakutojitambua? Kama haya masharti mapya ya GOK ni uzungu afadhali tuwe wazungu kabisa. Wengi wenu mmekomalia tu vijiweni mkikariri hadithi zenu za kawa za ujamaa, bila kuelewa kinachoendelea kote duniani sasa hivi. Kazi ni taarabu tu za TBC, badilikeni bana.

Nampa hongera zangu CS Mutahi Kagwe, maanake ni hivi majuzi tu nimekumbwa na huo usumbufu wao. Nilipofika ubalozi wao flani kutafuta visa, ambayo niliihitaji sana kama 'confirmation' ya fursa fulani hivi ambayo napanga kuichangamkia hivi karibuni. Ilibaki kidogo tu shughuli yote ikwame, kisa sikuwa nimejipanga na cheti hicho. Alafu eti mpo hapa mkituhubiria huo upumbavu wenu wa sijui uafrika wa peni mbili.
 
Tofauti yenu na wao ni kuwa you need them and they don’t need you.
Mnahitaji wachina wawajengee barabara hapo Nairobi,
Mnahitaji wahindi wawaletee madawa mtibiwe msife,
Mnahitaji watanzania wawaletee nafaka, légumes spices , fruits Msife njaa,
Mnahitaji hao wazungu waje kutalii ili Hospitality industry yenu pamoja na aviation industry ziendelee kusaidia kurun uchumi wenu duni na fragile,
Mnahitaji kuuza chai na maua angalau muwe na akiba ya fedha za kizungu msipoteane,
Vinginevyo sasa itabidi mrudi tena kukopa mahela ya Covid-19 kama mwaka jana na venye tayari mmekaribia default .

Don’t act blind, You need to chose your moves wisely or you will go Greece way.
 
Back
Top Bottom