mwenzio nilijua utaniwekea hata uzi,
kumbe umekauka, but najua ni wivu tu
asante mwaya.
Salaam wana wote,
Ilikuwa siku yangu 15/6 (official birthday), ni miaka mingi imepita toka nione jua.
Hata hivyo namshukuru Mungu kwa kuwa nipo salama na nina furaha.