It was hell I can't walk !; man found sobbing in street after 36 hours sex ordeal

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Hii iPo kila sehemu Kwenye news yaani huyu mkaka mwafrika ( mtanzania )alikutana na mzUungu mjerumani kumbe huyu mama sex addict akamkaribisha kwake huyu kaka alijikuta analazimishwa Kitendo hicho baada ya masaa 36 mkaka akakimbia barabarani kuomba Msaada kwa police "it was hell ,I can't walk ! After a sex ordeal with German nymphomanic.wewe google nymphomanic German and African men
 
Zion Daughter na DARKCITY naona sasa mtaona kuwa na wanaume wanakuwaga victim wa sex; ingawa ni mfano usiofaa sana coz the woman had above normal sexual craving, lkn kuna normal wengi hujifanya they do sex kwa ajili ya kuwaplease watu zao tu.
 
Last edited by a moderator:

Mie nipo na shida na tatizo la kujifanya..Many people are not real..Pamoja na kwamba unasema kuwa wote wawili wanastrehe lakn most people wanatumia tendo hilo ku manipulate situations hasa wanawake..Ndio maana ni rahisi sana mwanamke kumnyima unyumba mme wake kama part ya adhabu..
 
I totally agree with you; ndio maana nami nasema we are not victims hivyo tuache kujifanya victim na tuwe responsible kwa matendo yetu. Kama umeamua kutumia sex kama short cut, then be it ila usijifanye muhanga kuwa wanaume wanakutumia.
 
Zion Daughter na DARKCITY naona sasa mtaona kuwa na wanaume wanakuwaga victim wa sex; ingawa ni mfano usiofaa sana coz the woman had above normal sexual craving, lkn kuna normal wengi hujifanya they do sex kwa ajili ya kuwaplease watu zao tu.
Yaani ingekuwa mwanaume ndio kabaka jela for life
 
Last edited by a moderator:
Zion Daughter na DARKCITY naona sasa mtaona kuwa na wanaume wanakuwaga victim wa sex; ingawa ni mfano usiofaa sana coz the woman had above normal sexual craving, lkn kuna normal wengi hujifanya they do sex kwa ajili ya kuwaplease watu zao tu.

36 hours of sex jamani huyo mwanaume Lazima alikuwa anamatatizo
 
Last edited by a moderator:
Sasa mutoto ya fisadi muke ya Muzungu unatoa ushauri gani!

Nahisi huyu mama ana jini!

Hii iPo kila sehemu Kwenye news yaani huyu mkaka mwafrika ( mtanzania )alikutana na mzUungu mjerumani kumbe huyu mama sex addict akamkaribisha kwake huyu kaka alijikuta analazimishwa Kitendo hicho baada ya masaa 36 mkaka akakimbia barabarani kuomba Msaada kwa police "it was hell ,I can't walk ! After a sex ordeal with German nymphomanic.wewe google nymphomanic German and African men
 
wale wakware wa bongo kama dawa lazma muombe po.. Ila kafa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom