It Only Happens In Tanzania...

Eternal_Life

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
812
1,672
Katika nchi ambayo kwa miongo takribani mitano imekuwa ikiongozwa na chama ambacho kimekufa kifikra,kimaadili na hata kiubunifu.Akitokea mtu akaonekana ana akili kuwazidi "magenius"wao(mkulu na vibaraka wake wote)atapelekwa mpaka mahabara kupimwa mkojo ili wajue kama anatumia kitu cha ziada,kwa maana kwao wote ni vilaza na hakuna mtu ana uwezo mkubwa kiasi icho.

Nipende kuwashauri tu,wajitahidi kumuomba Mungu sana awape akili,hekima na maarifa na waache kukimbilia kwa waganga,mwisho wake ndo kuona kama kila mtu anayepingana nao na kuwa challenge ni muathirika wa madawa ya kulevya au kuna kitu cha ziada anatumia.Ndo maana my president(Lowassa) aliwahi kusema cha muhimu ni Elimu Elimu Elimu.
 
Nchi ya vi-wonder! Kumpima mkojo Lissu labda kutatia chachu katika kuelekea nchi ya vi-wonder! Yaani kuna maamuzi wanafanya hawa policcm unaweza kudhani wameelekezwa na waganga wa kienyeji maana hakuna weledi kabisa! Sasa uchochezi na kupima mkojo kuna muingiliano upi kama sio ushauri wa kishirikina? No wonder hicho chama cha makinikia kina mbunge mmoja mganga wa kienyeji, watakuwa wanamtumia huyo katika ushirikina wao!
 
Back
Top Bottom