god with us
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 391
- 100
Wakuu leo ni birthday yangu natmiza 26 ninafuraha kwa kweli hasa kwa maisha nilio pitia na hapa nilipo ashukuruwe mungu
Wakuu leo ni birthday yangu natmiza 26 ninafuraha kwa kweli hasa kwa maisha nilio pitia na hapa nilipo ashukuruwe mungu
Hongera sana mkuu, kumbuka kila uandikapo neno mungu basi herufi m lazima iwe kubwa, hivi>> Mungu.
Asante kwa ushauri mkuu na ww pia usisahau kufanya hvyoKila unavyoazimisha siku yako ya kuzaliwa ndivyo unaikaribia siku
Yako ya kutoweka duniani,so jitahidi kuongeza ibada mkuu!
Hongera sana. Usibweteke...bado hujafika nusu ya safari
Heri ya siku ya kuzaliwa..!! ubarikiwe uishi miaka mingi
Hongera sana kwa kupunguza siku za kuishi na kukaribia kifo
Hongera,,,,,Mungu[ akupe umri mrefu
wazazi umewashukuru?? Hongera kwa kuongeza umri
Nimekulewa mkuu