It my birthday

god with us

JF-Expert Member
Oct 19, 2013
391
100
Wakuu leo ni birthday yangu natmiza 26 ninafuraha kwa kweli hasa kwa maisha nilio pitia na hapa nilipo ashukuruwe mungu
 
Hongera sana mkuu, kumbuka kila uandikapo neno mungu basi herufi m lazima iwe kubwa, hivi>> Mungu.
 
Wakuu leo ni birthday yangu natmiza 26 ninafuraha kwa kweli hasa kwa maisha nilio pitia na hapa nilipo ashukuruwe mungu

Kila unavyoazimisha siku yako ya kuzaliwa ndivyo unaikaribia siku
Yako ya kutoweka duniani,so jitahidi kuongeza ibada mkuu!
 
Hongera sana kwa kupunguza siku za kuishi na kukaribia kifo
 
Mkuu hongers sna naona tumezaliwa mwaks mmoja ila mi nilisherekea kutimiza miaka 26 mwezi wa nane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom