It job seeker!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

It job seeker!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MtuMmoja, Nov 28, 2011.

 1. MtuMmoja

  MtuMmoja Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wana JF mi nachukua bachelor ya Computer Science mwaka wa pili,natafuta place ambapo nitaweza kupata kazi bila malipo kwa ajili ya kupata experience katika kazi,nimeona ratiba inaruhusu kabisa,Kwa hiyo yeyote mwenye kujua sehemu ambayo wanatoa hizi opportunities nipo tayari!!!
  0718990729
   
 2. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  good idea! ngoja waje mkuu![​IMG]
   
Loading...