It is true, huwezi sukuma gari bovu ukiwa ndani

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Whether you like or not

Nimefanya simple research nimeona kama umenasa kwenye tope halafu unajibu watu wanaokwambia kuwa hapo lipo tope,utelezi,shimo,miba ila unakazana tu kusukuma ,sasa gari inazunguka haisogei, unapigia watu makekele, halaf gari inaishiwa mafuta mda si mrefu itazima.

Ndugu wananchi tuamke tumsaidie yule dereva aliekwama ila akaomba msaada toka kwetu tukamwambia ili uweze kupita hapa inahitajika mifumo mipya sio hiyo ya zamani utasukuma mpaka uote sugu za mikono na viazi miguuni, tafuta greda lichimbe Barabara,weka lami, kisha sikiliza wananchi ambapo barabara hupita.

KWELI HUWEZI SUKUMA UKIWA NDANI YA GARI BOVU SASA NI DHAHIRI.
 
An object will remain on its state of rest or motion unless an ''exernal'' applied force is acted on it!
 
Huwezi kuomba mafisadi msaada wakutoe kwenye matope..its not in their interest...watakudidimiza zaidi...
Mifumo inategemea usafi/uchafu wa watu...its as good as its people..cha msingi, ondoa "rotten apples" zote, alafu tumia unda mfumo mpya (kwa kutumia watu wenye integrity)..
 
huwezi endelea kusukuma kwenye tope tunaitaji njia Mpya,mifereji mipya,lami Mpya in other words mifumo mipya
 
Back
Top Bottom