"It is the poor, not the rich, who are inclined to charity" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"It is the poor, not the rich, who are inclined to charity"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamayu, Aug 5, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Tafadhari gonga hii link ili uweze kupata habari kamili http://www.economist.com/realarticleid.cfm?redirect_id=16690659

  Copyright © The Economist Newspaper Limited 2009. All rights reserved.
  http://www.economist.com/help/copy_general.cfm

  Kama suala hili la kitafiti ambalo linakinzana na dhana ya awali kuwa matajiri kwao ni rahisi kusaidia maskini, na huu utafiti unasema mtu wa kipato cha chini si mbinafsi, yaani usaidia wengine; halafu CCM imetekwa na matajiri je, wakishinda uchaguzi huu, umaskini utaendelea kuwepo miaka nenda rudi kwani sifa mojawapo ya tajiri ni ubinafsi!!!!?
   
Loading...