It is stupid to compare Mwanza to Mombasa

i) Port ya 4 kwa ukubwa afrika iko mombasa, kubwa kushinda port zote 4 za Tanzania zikiwekwa pamoja.
ii) Mombasa na nairobi ndizo miji ziko na sgr inayotumika katika eac.
iii) Mombasa sahi KPA inajenga office bock kubwa afrika ya mashariki
iv) Mombasa iko mbioni inafata Nirobi kwa miundo mbinu afrika mashariki.
v) Kuanza 2029 mombasa commuter rail phase 1 itakuwa inaanza kwa kasi, hapo dar bado watakuwa wanang'ang'ana kumaliza phase 2 ya BRT.
vi) Kufikia 2029 Mombasa itakuwa na viwanda nyingi kushinda Nairobi kwa sababu ya dongo kundu sez. Dar bado watakuwa wanakimbizana na vyerahani.

Naona kulinganisha mombasa na mwanza ni kutusi mombasa, kwa huu mda hata dar es salaam haifikii mombasa kwa miundo mbinu.
 
Vi)Mombasa inaongoza kwa kuwa na uphill gardeners EAC yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kitu kizuri kwa Kenya ni hili la kuwa na angalau mji 1 ambao una misuli ya kiuchumi ya kushindana na Nairobi,hii ni diversification nzuri unlike Tzn ambako Dar ndio kila kitu na Tzn ndio Dar nje ya hapo hakuna mji wa kusogeza pua kwa Dar huku Tzn,miji yote ni vijiji
Hii ni mbaya sana economically maana fursa kama soko nk nk ziko mji 1 tuu
 
Nakucheka tu,huijui tz unaijua dar
 
Uwongo upi, Rock City, Mwanza ndio imewaamsha ila palikua hovyoo sana, kwa Tanzania nje ya Dar labda unitajie A-city ndio huwa imechangamka kiaina, hiyo nchi yenu nimekatiza katiza, watu mlioganda Buza tangu kuzaliwa hamjatoka hamuna lolote la kuniambia.
Punguza mihemko we kilaza ,buza bongo,kibera pia kenya.shida yenu mnasifa za kijinga ndo Mana mambo yanawaendea hovyo.m tz kujisifu sio sifa yetu but action utaziona.Na iyo corona inawatafuna kwa sababu nyie si wazungu .Waafrica hatufi nyang'au .hiyo mwanza uliokatisha katisha sio ya leo.endelea kula hekima za uyo mlevi kunyata na ibada zake kwa wazungu zisizoisha.mtakuja kushtuka nchi imeuzwa ,vaa barakoa mkamaliza ugomvi na Somalia sio kuleta polojo zako za kimavi mavi
 
Nimeshindwa kusoma ulichokiandika, huu uzi unahitaji ujiongeze kwenye ubongo kuujadili....
 
Uwongo upi, Rock City, Mwanza ndio imewaamsha ila palikua hovyoo sana, kwa Tanzania nje ya Dar labda unitajie A-city ndio huwa imechangamka kiaina, hiyo nchi yenu nimekatiza katiza, watu mlioganda Buza tangu kuzaliwa hamjatoka hamuna lolote la kuniambia.
Boss, si umeiva Swa.
 
Back
Top Bottom