It is dangerous to be right when the gvt is wrong prove msemo huu kwa matukio ya kweli uliyosikia au kushuhudia

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,408
30,911
Kichwa cha habari kiko wazi hebu toa mifano ya kweli na sahihi popote duniani inayothibitisha kwamba ni hatari kuwa sahihi wakati mamlaka haiko sahihi kazi kwetu
 
Mfano yule mwanafalsafa aliyejiua baada ya kuamriwa anywe sumu kwakuwa alipingana na kanisa japo yeye ñdio alikuwa sahihi
 
Back
Top Bottom