IT Expert | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IT Expert

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by X-PASTER, Feb 9, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Feb 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  IT Expert: Mambo Binti!

  IT Student: Poa tu.

  IT Expert: Unajuwa kuwa Penzi langu lina GB kubwa sana kwako, mpenzi nataka ni INSTALL moyo wangu kwenye CPU ya nafsi yako. Naomba u'DOUBLE CLICK kwenye maisha yako niwe SOFTWARE moyoni mwako, maisha yako hayatokuwa hatarini UKWELI ndio ANTI-VIRUS tosha. Kama uniamini, twende ANGAZA tukaji SCAN-VIRUS Nakuhakikishia hutakuta hata COOKIES au MALWARE yoyeto yule kwenye HARD DISC yangu. I am LINUX.
   
Loading...