ISUZU CANTER (Ina Crane) INAUZWA Tsh 38mil

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,741
Iko SINGIDA.

Iko kwenye hali nzuri sana. Ina crane kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kunyanyulia vitu viziyo. Ina namba za uganda, kwa sababu mwenyewe anadharura. Bei ni Tshs 38 Mil (Bila Kodi). Ukinunua unapaswa kulipa kodi za uingizaji gari TRA. Piga 0759888018 kwa mawasiliano.
 
isuzu na canter (mitsubish canter) ni waundaji wawili tofauti. mr Prondo msaada tafadhali. lakini umeeleweka mkuu.
 
Back
Top Bottom