Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Isuzu Big Horn

Huu uzi huwa naufatilia sana tangu jamaa alipoanza kutafuta chombo hadi feedback zake.
Siki na mie nikikamilisha kakibanda kangu nitaiongezea Corolla yangu Hiyo Big Horn. (Corolla inabakia kumbukumbu ya ujenzi maana kalikuwa kakidampa, beba sana Cement na mahitaji mengine madogo madogo ya site)
 
Balozimchomvu! Tank inaingia lita 83 kwa safari ya DAR-ARUSHA mpaka nafika Kisangara tenki hubakia robo. Usiniige mm kaka maana ofisini ninapewa 500 litres kila mwez.
 
Huu uzi huwa naufatilia sana tangu jamaa alipoanza kutafuta chombo hadi feedback zake.
Siki na mie nikikamilisha kakibanda kangu nitaiongezea Corolla yangu Hiyo Big Horn. (Corolla inabakia kumbukumbu ya ujenzi maana kalikuwa kakidampa, beba sana Cement na mahitaji mengine madogo madogo ya site)
Kamata NoAH mkuu
 
hiyo ni gari ambayo ukinunua ni ngumu sana kuja kuiuza. hataki uweke spare magumashi. haitaki fundi magumashi. ni nzuri kutumia kwa mjini tuu. kama unaipeleka kijijini umenunua jini.
 
Ninayo Isuzu bighorn. 2002 model. Diesel engine 3000cc. Automatic. Ni gari nzuri sana, nimeiendesha kwa miaka 6 sasa. Inakunywa mafuta vizuri like 10-11km/ltr. Iko very stable barabarani as compared to Toyota Prado Kzj95. Ina speed sana na turbo charger inafungua haraka sana.
Na body yake iko very strong.
Kwa sasa naiuza. Na kama uko interested tuwasiliane kwa namba: 0718885512, 0787538394 or Whatsapp: 0787538394. E-mail: karibu!. ryobaus@gmail.comView attachment 398913View attachment 398915View attachment 398917View attachment 398918View attachment 398919View attachment 398921
Mkuu hiki chombo bado unacho?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom