ISUZU BIG HORN: Ushauri

born again pagan

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Messages
2,147
Points
2,000

born again pagan

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2014
2,147 2,000
Wakuu nimebabatiza pesa sehemu nataka ninunue gari kubwa kiasi nayo ISUZU BIG HORN mwenye kuijua vizuri
1. Ulaji wa MAFUTA;
2. Spea zake;
3. Mafundi wetu wa Kibongo je wanaziwezea?
Mkuu hata siku moja usibugi ukanunua Bighorn ya diesel, utajuta.

Lkn sasa huu Uzi ni wa tarehe 12 Sept na Leo ni tarehe 6 Nov. Sijui ushaingia cha kike tayari.
 

goldie ink

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Messages
5,683
Points
2,000

goldie ink

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2016
5,683 2,000
Ni ushauri tu.

nunua hizi gari kama hela yako inaruhusu kununua.

CADILLAC ESCALADE - dollar $73. sawa na million 160 za kitanzania.

CHEVROLET TAHOE - dollar $47. sawa na million 102 za kitanzania.

BUICK ENVISION - dollar $34. sawa na million 74 za kitanzania.......

ni gari nzuri zenye ubora wa hali ya juu haili mafuta sana.
Ila Nyingi ni left hand. Yaani usukani upo kushoto.

Kama hela ina kuruhusu nunua mkuu. Utaifurahia.
 

malavanu

Senior Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
186
Points
250

malavanu

Senior Member
Joined Mar 2, 2015
186 250
Hongera,wenye Bighorn tunazidi kuongezeka,weka kapicha basi, halafu AC zake unaweza kuganda barafu, teh teh unajua watu wamezoea Toyota kumbe kuna gari zingine hatari!
 

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
10,888
Points
2,000

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
10,888 2,000
ISUZU BIGHORN inanipa faraja, haina mawazo kabisa, haijanisumbua zaid ya service za kawaida kwa mafundi wetu chini ya mwembe pale Mwenge nyuma ya Tamal Hotel.
 

Forum statistics

Threads 1,391,023
Members 528,344
Posts 34,070,570
Top