mkuu achana naye huyo wengi humu wanao ongoza kusema gari flan bovu hawamiliki hata baiskeli lkn nimafundi wa kuponda magariPrado aliyo isema ni mbovu kweli, japo ina muonekano poa ... Ina matatizo ya maball joints ugonjwa sugu na matatizo mengine.
Nimecheka sana mkuu...hahahahahahahasanteni wakuu kwa ushauri MUNAWARA kwa kweli naona niagize hii makitu maana ukishakuwa na hela ni kama vile zina majini utasikia ooh shangazi kaanguka juu ya mti tuchange tumlete MUHIMBILI. Asanteni sana.
Kiufupi ni kwamba engine nyingi tofauti na Toyota oil zinataka zile super tu mambo ya Oryx za elf 30 lita 5 noooHii gari imetulia sana,tatizo wabongo tunafata mkumbo bila kupima wenyewe ubora wa gari kila mtu utamsikia anazungumzia Toyota.
kwa kifupi kama unataka kunuinunua hii gari nakushauri nunua tena kwa roho safiiiii hutajuta kamwe.ukiweza tafuta inayotumia diesel ya kuanzia mwaka 2002 na kuendelea.yenye engine aina ya 4jx1,hapo ni mkataba kabisa.
Angalizo ni kwamba hii engine inatumia oil number 5W30 ni nyepesi kama maji na usije ukaweka oil tofauti na hiyo kamwe! ukiweka oil tofauti ndio umeua engine.
Umeambiwa nzuri ni yakuanzia 2002Wakuu nimechungulia Be Forward wanayo ya 2,990 cc. 4WD ya 1998 diesel Engine code: 4JX1 kwa 2700 CIF kesho naenda kutuma pesa ili nijihakikishie chombo. Swift Bye bye Sina Habarrriiii
Nunua tu, hata mimi ninayo, 4jx1 turbo diesel, hiyo mashine inakimbia balaa, hiyo ni "Euro 3" engine, ni moja ya hi tech diesel engine, emission standard zimezingatiwa, ukiona gari imekubalika hata USA na UK siyo kitu ya mchezo. Pia ina Onboard Diagnostic, unaweza ukagundua baadhi ya matatizo ya engine kwa kutumia dashboard yako, kabla ya kumuita fundi, tutajuzana kwa kirefu.Wakuu nimechungulia Be Forward wanayo ya 2,990 cc. 4WD ya 1998 diesel Engine code: 4JX1 kwa 2700 CIF kesho naenda kutuma pesa ili nijihakikishie chombo. Swift Bye bye Sina Habarrriiii
Gari iko vizuri hiyo, hakikisha unanunua inayotumia diesel, ulaji wa mafuta uko vizuri 13km/L. Mafundi wapo wa kutosha kutokana na tatizo. Iko sensitive sana na Engine Oil, lazma uweke inayofaa. Haitaki mafundi uchwar. Inakimbia sana kama una roho nyepesi unamaliza zote 180km/h.
Mimi ninayo ya mwaka 2000, 4JX1 Turbo Engine, Manual Transmission tangu 2013.
View attachment 399074 View attachment 399075 View attachment 399077
Vp hii Mazda Tribute?Hiyo gari ni cheap kununua ila haziko maarufu kiviile so unaweza pata shida kdg kama unataka kuiuza
Hongera mkuu, enjoy the ride. Recommended Engine Oil kwa africa kutokana na joto ni 10W40 Fully Synthetic - Bora zaidi ni Atlantic au Castrol na inaenda mpaka 10,000 kms, recommended 8,000KmsWakuu nimeishanunua mashine BIG HORN ipo vizuri sana naokota mademu vituoni mwanzo-mwisho. Asubuhi wakati naenda job.
Hongera mkuu, enjoy the ride. Recommended Engine Oil kwa africa kutokana na joto ni 10W40 Fully Synthetic - Bora zaidi ni Atlantic au Castrol na inaenda mpaka 10,000 kms, recommended 8,000Kms