Istanbul, Uturuki: Watu 35 wafariki na wengine 40 kujeruhiwa

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
Kwa mujibu wa Gavana wa Istanbul, takribani watu 35 wamefariki dunia huku wengine zaidi ya 40 wakijeruhiwa vibaya baada ya Ukumbi mmoja wa Starehe kuvamiwa usiku huu.

Washambuliaji wawili wanaohofiwa kuwa ni ISIS ndio wametekeleza shambulio hilo.

Zaidi:

2ba1c61aa4e21f62b359c265919ff5e9.jpg

ISTANBUL (AP) - Istanbul's governor says at least 35 people were killed in the attack at a nightclub in Istanbul during New Year's celebrations.

Vasip Sahin said some 40 other people were wounded in the assault in the early hours of Sunday.

Sahin said the incident was a "terror attack" without saying who may have carried it out.

Private NTV television said a police officer and a civilian were killed in the attack targeting the popular Reina nightclub in Istanbul's Ortakoy district. Media reports said more than one assailant may have been involved in the attack and more than 500 people were inside the club at the time.

The attacker is believed to have opened fire at police outside the nightclub before entering and firing on people inside. Some customers jumped into the waters of the Bosporus to escape the attack, the report said.

NTV television said the assailant may still be inside the nightclub.

Footage from the scene showed at least six ambulances with flashing lights and civilians being escorted out. NTV said police had cordoned off the area and an operation to capture the assailant was ongoing.

9a4cf19e9b53c3acdc16c02c24e76022.jpg

An AP photographer says police cordoned off the area about 2 miles (3 kilometers) away from the nightclub and reported multiple ambulances passing by.

Security measures had been heightened in major Turkish cities, with police barring traffic leading up to key squares in Istanbul and the capital Ankara. In Istanbul, 17,000 police officers were put on duty, some camouflaged as Santa Claus and others as street vendors, state news agency Anadolu reported.

Ankara and Istanbul have been targeted by several attacks in 2016 carried out by the Islamic State group or Kurdish rebels, killing more than 180 people.

=====
UPDATES

Istanbul (CNN)At least 39 people were killed and at least 69 wounded in an attack in a nightclub early Sunday as they were celebrating the new year, Turkey's Interior Minister said.

"We are face to face with a terror attack," Interior minister Suleyman Soylu told reporters.
Twenty-one of the dead have been identified, he said. Of those, 16 were foreign nationals and five were Turkish.

US officials also called it a terrorist attack, making it the first of 2017.
 
Hii nimetoka kuicheki,
Inasikitisha sana, yani unapoteza maisha kipindi cha mwaka mpya.
Halafu kibaya zaidi migaidi imevaa kama Santa Clause na inaua watu bila huruma.

Japo serikali ya Erdogan nayo ni ya kulaumiwa katika hili,
Ilichagua upande mbaya sana na haya yanamtokea puani.
Baada ya jaribio la uhaini nchi ya Uturuki imedhihirisha ni jinsi gani mfumo wake wa kiulinzi uliiingiliwa na mamluki kutoka nje. Kibaya zaidi Erdogan amevipangua na kuanza kuvisuka upya vyombo vya Ulinzi na Usalama, hii itavichukua muda mrefu kidogo vyombo hivi kupambana kikamilifu na ugaidi nchini humo.

Mungu awapumzishe kwa amani hao waliokufa,
Na pole nyingi sana ziwafikie wafiwa.
 
mwache aone madhara ya haya mashetani na ajue mashetani siyo mijitu ya kuyafadhili kwa namna yeyote ile maana alikubali kuyafadhili yeye pamoja na mataifa ya magharibi ambapo yaliweza kujiimarisha sana syria na iraq kabla ya mrusi kuingilia kati
kwa marehemu wote raha ya milele uwape ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie Amina.
 
Hii nimetoka kuicheki,
Inasikitisha sana, yani unapoteza maisha kipindi cha mwaka mpya.
Halafu kibaya zaidi migaidi imevaa kama Santa Clause na inaua watu bila huruma.

Japo serikali ya Erdogan nayo ni ya kulaumiwa katika hili,
Ilichagua upande mbaya sana na haya yanamtokea puani.
Baada ya jaribio la uhaini nchi ya Uturuki imedhihirisha ni jinsi gani mfumo wake wa kiulinzi uliiingiliwa na mamluki kutoka nje. Kibaya zaidi Erdogan amevipangua na kuanza kuvisuka upya vyombo vya Ulinzi na Usalama, hii itavichukua muda mrefu kidogo vyombo hivi kupambana kikamilifu na ugaidi nchini humo.

Mungu awapumzishe kwa amani hao waliokufa,
Na pole nyingi sana ziwafikie wafiwa.

Hatari sana, halafu jamaa mshambulizi anaonekana ameiva na kukamilika ktk mafunzo ya kijeshi. Hii ni changamoto kubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuongeza kukusanya taarifa za kiintelejensia kwa kila namna.
 
Haya yanayotokea nchi Turkey wengi tuliyatazamia baada ya kushindwa lile jaribio la kuipindua serikali......

Kwa kifupi ni kwamba ndani ya jeshi la nchi hiyo kuna mgawanyiko mkubwa sana.....

Hivyo muendelezo wa matukio haya ni ya kutazamiwa......

Ukianza na tukio la mauaji ya balozi wa Russia....yakihusisha kijana ambaye ni polisi.....na haya mashambulizi.....yanayohusiana na vikosi vya ulinzi.....unapata jibu kuwa Uturuki sio salama tena......

Na usalama unakuwa mdogo zaidi baada ya kufurushwa.....kwa wapiganaji wa ISIS na majeshi ya Asad akishirikiana na yale ya Russia.......
 
purge inayoendelea jeshini inafanya askari wawe na visasi. pole yao Uturuki.
 
Hatari sana, halafu jamaa mshambulizi anaonekana ameiva na kukamilika ktk mafunzo ya kijeshi. Hii ni changamoto kubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuongeza kukusanya taarifa za kiintelejensia kwa kila namna.

Kwa iliopfika Uturuki sasa ni rahisi sana kufanyiwa shambulio kama hilo,
Vyombo vya Usalama vimevurugika na vimeingiliwa na itatumia sana kurudi katika hali yake ya kawaida.
Kama tu afisa wa polisi wa nchi ambaye amepewa mafunzo ya mengi anatumiwa kirahisi kuua Balozi wa nchi nyingine ni dhahiri kwamba vyombo hivyo vya Usalama vina walakini.
 
Uturuki waache masherehe sherehe ayo hayana mana yeyote katika nchi ya kiislamu,
 
Lakini Uturuki kuna zaidi ya ISIS, mbegu ya kinachotokea imepandwa na kukuzwa kwa gharama kubwa sana na serikali yenyewe.
 
Hii nimetoka kuicheki,
Inasikitisha sana, yani unapoteza maisha kipindi cha mwaka mpya.
Halafu kibaya zaidi migaidi imevaa kama Santa Clause na inaua watu bila huruma.

Japo serikali ya Erdogan nayo ni ya kulaumiwa katika hili,
Ilichagua upande mbaya sana na haya yanamtokea puani.
Baada ya jaribio la uhaini nchi ya Uturuki imedhihirisha ni jinsi gani mfumo wake wa kiulinzi uliiingiliwa na mamluki kutoka nje. Kibaya zaidi Erdogan amevipangua na kuanza kuvisuka upya vyombo vya Ulinzi na Usalama, hii itavichukua muda mrefu kidogo vyombo hivi kupambana kikamilifu na ugaidi nchini humo.

Mungu awapumzishe kwa amani hao waliokufa,
Na pole nyingi sana ziwafikie wafiwa.
Mkuu kwakweli huyu Rais Edorgan kayata mwenyewe ila atajuta sasa
 
Tit for tat.!

Fire me, i fire you.! @ g
unpoint.!

No retreat, no surrender.!

Kill me, i kill you.!

Trump, come please, teketeza hawa ISIS, plse Trump..!!
 
Back
Top Bottom