Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Ni Mungu tu kaamua kupanga hivyo, angeleta snow kama hii huku kwetu lazima angetupatia na vitendea kazi.Hii hali ndiyo maana Mungu kaipitisha mbali na huku Africa, maana kipindi kama hicho ingekuwa huku nahisi ile hali ya kusema kupunguza watu duniani is ingekuwa shida!!.
Sababu wengi wetu wangekuwa hawana uwezo wa kununua vyakula n nahitaji muhimu kwa mwezi mzima na kuweka ndani, hivyo ingepelekea wengi kafariki ndani AU wakitafuta nahitaji wakati maduka mengi hufungwa!!.
Sidhani kama hili lingefanikiwa ndg, kama mambo madogo mfano ya takataka tunashindwa kuji_control binafsi, imekuwaje kwa hilo?Ni Mungu tu kaamua kupanga hivyo, angeleta snow kama hii huku kwetu lazima angetupatia na vitendea kazi.
Tumshukuru mungu kwa kutupatia nchi tunayoweza kuishi vipindi vyote vya mwaka bila shida, hatuna joto la kuzidi kama uarabuni lakini hatuna baridi la kuzidi kama ulaya na marekani.
Kitu gani kinaonesha kuwa hapo ni Istanbul mbona ni km Australia hapo!!!!
Kitu gani kinaonesha kuwa hapo ni Istanbul mbona ni km Australia hapo!!!!
Hii hali ndiyo maana Mungu kaipitisha mbali na huku Africa, maana kipindi kama hicho ingekuwa huku nahisi ile hali ya kusema kupunguza watu duniani is ingekuwa shida!!.