ist nisaidie inakula mafuta zaidi ya kawaida

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
wana jf nilijisahau nikapost kule kwa jukwaa la siasa,hapa nasubiri kutukanwa.
Anyway mi nina ist cc1490,mileage 89000km,nilisafiri nayo last month toka mza to dar,nashangaa saiv fuel consumption imekua high sana ilikua 16km/litre but baada ya safari imeshuka hadi hadi 8 hadi 9 km/litre nimefanya yafuatayo nimebadili engine oil,gearbox oil,air na oil filter,plugs na nimesafisha nozels lakin bado inatumia 9km/litre,nafanye nini ili irudi 16km/litre? Nisaidieni ushauri
 
plugs na nimesafisha nozels[/QUOTE]

Maelezo yako yanajikanganya hakuna gari yenye spark plugs na nozzles kwa wakati mmoja labda ufafanue ulikuwa unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom