Weka picture tuione sheikh wanguInauzwa ipo katika hali nzuri sana.
Haijawahi pata ajali
Haijawahi rudiwa rangi.
For serious buyer
Naweza toa sports ream na kufunga za chuma na bei itapungua hadi u.6mil
Njoo inbox fasta
Asante mkuu kwa picha.Picha mbona nimeziweka boss