Issue ya Moo italipuka soon

Ninakuelewa kwa mapana sana mleta mada.

Hii kauli ya Haji Kutumika na watu fulani kwangu sioni kama ina mashiko sana. Kwanini?

Je, anayosema haji kuhusu Barba kusign tenda ya miaka miwili ya Azam na Simba kwa misimu miwili ni 300ml lina ukweli?

Kuhusu watu kutimuliwa kazi sababu ya Barba lina uhalisia? Kuhusu mapato na matumiz na uwekezaji wa Moo, Je haji amedanganya?

Twendeni mbele turud nyuma, tume/shirika linalohusu mabadiliko ya kiushindani TZ iliwahi kuhoji mambo haya haya nayo pia inaihujumu Simba?

Simba itampuuzia sana Haji ila ipo siku mtampigia magoti haji, na Haji atapigiwa magoti kipindi ambacho Simba itaenda mrama.
 
Unakosea sana kuhusisha yanayotokea simba na timu zingine. Msemaji msitaafu ana mapungufu yake lakini katika aliyoyaongea kuna mengne ya ukweli
Omba vitu vyote ukose ila usikose akili mkuu.

Haji katika yote aliyoongea, Je, yana ukweli?

Hiki ndicho ambacho Watanzania hasa mashabiki wa Simba wanapaswa wakitafakar. Aliyozungumza Manara yana uhalisia?

Leo wanampuuza sababu timu inafanya vyema ila likitokea la kutokea tutakuja kutafutana.

Ni kweli mafanikio yooote ya Simba ndani ya Tz na mashindano ya Kimataifa leo unakuja kusema Simba inajiendesha kwa hasara?
 
Kwa akili yako mo atoe b 20 hivi hivi. Mo anatupiga wana simba. Tunataka hesabu za kifedha sio kulalamika anapata hasara. Mbona yanga wanapata faida. Na simba wako juu zaidi yetu.
Hahahaaa, wabongo bana. We shabiki unapigwa nini? Kwani timu hua ina mgao wa hela kwa shabiki?? MO afanye anavyofanya, as long as timu inashida hakuna anayejali.. Furaha ya shabiki ushindi tu, hayo mengine mbwembwe, wivu na unafki.
 
Kwa akili yako mo atoe b 20 hivi hivi. Mo anatupiga wana simba. Tunataka hesabu za kifedha sio kulalamika anapata hasara. Mbona yanga wanapata faida. Na simba wako juu zaidi yetu.
Wewe uliza Yanga haina makombe mwaka wa ngapi? Yanga haijashiriki michuano ya kimataifa kwa muda gani?

Simba inacheza CAF kila wakati, Simba ina mashabiki wengi kwa sasa sababu wana timu nzuri. Inakuaje timu inaingiza hasara?

Kuhusu kuingia mkataba na Azam kwa 300ml ndan ya miaka miwili ina uhalisia? Kama ndio, hapa hakuna rushwa?

Je, mchakato wa mabadiliko simba sio lile shirikisho la kitaifa sijui ni tume ile ndio ilianza kuhoji khs uendeshwaji wa Simba? Si ndo wao wakauliza Moo ameupataje Ukurugenz wa Simba?

Napenda sana watu tungekuwa tunatanua fahamu zetu kuwaza katika haya ila naona kama tunaingiza ushabiki na mapenzi badala ya interests za Club zetu.
 
Eti "Mnapigwa!" Ulishawahi kununua hata soksi jozi moja kwa ajili ya mchezaji wa Simba?
Mbona binadamu hatuna shukrani? Hivi bila uwepo wa huyo Mo, hii Simba ya leo ingekuwa kama ilivyo leo?
Open your mind broh!

Simba imefka hapo ilipo, Simba imenufaika ama ni Mo ndo amenufaika.

Kama ni Mo ndo amenufaika, ni nini sababu ya kufanya yale mabadiliko ya kimfumo ktk uendeshwaji wa Club?
 
Open your mind broh!

Simba imefka hapo ilipo, Simba imenufaika ama ni Mo ndo amenufaika.

Kama ni Mo ndo amenufaika, ni nini sababu ya kufanya yale mabadiliko ya kimfumo ktk uendeshwaji wa Club?
U have to upen your mind also coz,,, ili simba inufaike labda wewe ulitakaje coz kama ni vikombe imebeba vingi tu tangu mo achukue timu au labda wewe ulitaka kila mshabiki awe na mgao wake pale simba labda au mafanikio gani unayoyazumnguzia hapa labda naona mnateseka sana na uwekezaji wa mo pale simba mpaka mnadroo tena leo utapu tapu fc
 
Lilokuwa Semaji la Sudan Fc lishamuuzi Mud,tetesi nasikia anataka kuwachia timu ya.
 
Ukweli anachokifanya Moo ni kuhakikisha watu ambao wanaweza leta upinzani wa yeye kufanya maamuzi ndani ya Simba waondoke wabaki mafala ambao kila anachosema wanaitika yes
Nkwambi alihoji moo analipa kias gan kiweka matangazo kwenye jezi akawekewa zengwe

Mo anasema anatoa bil 5 kila mwaka
Iv mapato yanaenda wap?
Pesa ya wadhamin inaenda wap?
Mauzo ya jezi yanaenda wap?
Hela ya caf inaenda wap?

Yanga juzi wametoa mapato na matumizi inaonekana wamepata faida japo ni kdg

Lini Moo atatoa mapato na matimizi ili tuone kweli anatoaga hela simba na tujue analipa kias gan kwa matangazo yake kwenye jezi


Moo nakwambia endelea kuona watu mafala wanakuvumilia sababu timu inafanya vzr ila ikikosea Simba ikayumba kwenye matokeo ndo utawajua Watanzania na utaeleza ukweli

Yanga nwashaur msikubali mwekezaji mmoja kuwen nao wawili au watatu ili kwenye maamuzi asifanye mmoja kuwe na kuhojiana

Simba wangekuwwpo wawekezaji wawili tungejua mapato na matumizi/ tungejua moo analipa kias gan kwenye matangazo na babra asingeifanya simba ya moo

Nimemaliza ila kaa mjua simba ni bomu ambalo halijalipuka
Kigwangala alisema kabisa kwamba kuna ujanja na kuna ujanja ujanja kwenye uwekezaji wa mo pale simba na pengine kuna mazito zaidi yamejificha kwenye huu uwekezaji ni suala la muda tu kila kitu kitajulikana
 
Eti "Mnapigwa!" Ulishawahi kununua hata soksi jozi moja kwa ajili ya mchezaji wa Simba?
Mbona binadamu hatuna shukrani? Hivi bila uwepo wa huyo Mo, hii Simba ya leo ingekuwa kama ilivyo leo?
Nimeamua kuamia yanga sitaki timu ya matapeli. Simba imekuwa timu ya kitapeli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom