Issa Shivji: Ina maana Mteuzi ana nguvu kuliko Katiba? Katiba imesema SHALL hiyo sio hiari ni lazima. Assad alitakiwa kupewa kipindi cha pili

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Mjadala mkubwa kwa sasa ni juu ya uteuzi wa CAG mpya Bw.Kichere na utenguzi wa Prof.Mussa Assad. Kumekuwa na mitizamo mingi lakini ipo ktk makundi makubwa mawili.

La kwanza ni lile linaloamini Rais amevunja Katiba kwa kumuondoa Prof.Assad kabla hajafikisha umri wa miaka 60 kama ilivyoelezwa na Katiba ibara ya 144(3) ikisomwa kwa pamoja na sheria ya ukaguzi no.11 ya mwaka 2008.

Kundi la pili ni lile linaloamini Rais alikua na 'mandate' ya kumuondoa Assad kwa sababu amemaliza kipindi chake cha miaka mitano. Kundi hili linaegemea kwenye sheria ya ukaguzi no.11 ya mwaka 2008 bila kusoma pamoja na Katiba.

Jana gwiji wa sheria wa kimataifa Prof.Issa Shivji aliungana na kundi la pili. Kupitia ukurasa wake wa Twitter alisema kipindi cha CAG ni miaka mitano, na ikiwa itampendeza mteuzi (Rais) anaweza kumuongezea mingine mitano 'as long as' hajafikisha umri wa miaka 65. Lakini akimaliza miaka mitano si lazima ateuliwe tena, ni mapenzi ya mteuzi.

Lakini leo Prof.Shivji ameomba radhi. Amesema alikosea na hivyo kujikuta anapotosha. Baada ya kurudia kusoma tena sheria hiyo pamoja na Katiba ya nchi amebadili maoni yake.

Amesema ikiwa CAG amemaliza kipindi chake cha mika mitano, na kama hajatimiza umri wa miaka 65 ni LAZIMA kuongezewa miaka mingine mitano. Yeye katumia neno "automatic". Anasema kifungu kidogo cha 3 cha sheria ya ukaguzi kinaeleza kuwa ikiwa Rais hatapenda kumuongezea CAG miaka mingine mitano, anapaswa kufuata masharti yaliyowekwa kwenye ibara ya 144(3) ya Katiba.

Masharti hayo ni pamoja na ugonjwa, kifo au tuhuma za kushindwa kutimiza majukumu yake. Na ikitokea hivyo Rais anapaswa kuunda Tume ya kijaji ya kuchunguza madai hayo kabla ya kufanya maamuzi.

Vinginevyo CAG hawezi kuondolewa kwa kigezo cha kumaliza miaka miatano. Ni LAZIMA kuongezewa mingine mitano kama hajafikisha umri wa maiaka 65, as long as haumwi ugonjwa unaoathiri kazi zake, hajafa na hatuhumiwi ku-underperform. Hii ni kwa mujibu wa sheria na Katiba na si "matakwa binafsi" ya mteuzi.

Sasa kama Assad hajafa, hajaugua ugonjwa unaoathiri kazi zake, hana tuhuma za ku-underperform, wala hajaundiwa Tume ya kijaji kumchunguza, ameondolewaje? Ina maana mteuzi ana nguvu kuliko Katiba? Mbobezi wa sheria za Katiba Prof.Shivji anauliza!
Credit to Malisa
C
FB_IMG_1572892627611.jpg
 
Bado kuna watu wanaamini kuna "Katiba" inayotakiwa kufuatwa?

Mmeonyeshwa matukio yote yale huko nyuma, na bado tu hamtaki kuelewa?

Sijui mnatakiwa kifanywe kipi ndio muelewe!

Na shida iliyopo, hakuna popote mnapoweza kwenda kuidai hiyo katiba itekelezwe.
 
Mjadala mkubwa kwa sasa ni juu ya uteuzi wa CAG mpya Bw.Kichere na utenguzi wa Prof.Mussa Assad. Kumekuwa na mitizamo mingi lakini ipo ktk makundi makubwa mawili.

La kwanza ni lile linaloamini Rais amevunja Katiba kwa kumuondoa Prof.Assad kabla hajafikisha umri wa miaka 60 kama ilivyoelezwa na Katiba ibara ya 144(3) ikisomwa kwa pamoja na sheria ya ukaguzi no.11 ya mwaka 2008.

Kundi la pili ni lile linaloamini Rais alikua na 'mandate' ya kumuondoa Assad kwa sababu amemaliza kipindi chake cha miaka mitano. Kundi hili linaegemea kwenye sheria ya ukaguzi no.11 ya mwaka 2008 bila kusoma pamoja na Katiba.

Jana gwiji wa sheria wa kimataifa Prof.Issa Shivji aliungana na kundi la pili. Kupitia ukurasa wake wa Twitter alisema kipindi cha CAG ni miaka mitano, na ikiwa itampendeza mteuzi (Rais) anaweza kumuongezea mingine mitano 'as long as' hajafikisha umri wa miaka 65. Lakini akimaliza miaka mitano si lazima ateuliwe tena, ni mapenzi ya mteuzi.

Lakini leo Prof.Shivji ameomba radhi. Amesema alikosea na hivyo kujikuta anapotosha. Baada ya kurudia kusoma tena sheria hiyo pamoja na Katiba ya nchi amebadili maoni yake.

Amesema ikiwa CAG amemaliza kipindi chake cha mika mitano, na kama hajatimiza umri wa miaka 65 ni LAZIMA kuongezewa miaka mingine mitano. Yeye katumia neno "automatic". Anasema kifungu kidogo cha 3 cha sheria ya ukaguzi kinaeleza kuwa ikiwa Rais hatapenda kumuongezea CAG miaka mingine mitano, anapaswa kufuata masharti yaliyowekwa kwenye ibara ya 144(3) ya Katiba.

Masharti hayo ni pamoja na ugonjwa, kifo au tuhuma za kushindwa kutimiza majukumu yake. Na ikitokea hivyo Rais anapaswa kuunda Tume ya kijaji ya kuchunguza madai hayo kabla ya kufanya maamuzi.

Vinginevyo CAG hawezi kuondolewa kwa kigezo cha kumaliza miaka miatano. Ni LAZIMA kuongezewa mingine mitano kama hajafikisha umri wa maiaka 65, as long as haumwi ugonjwa unaoathiri kazi zake, hajafa na hatuhumiwi ku-underperform. Hii ni kwa mujibu wa sheria na Katiba na si "matakwa binafsi" ya mteuzi.

Sasa kama Assad hajafa, hajaugua ugonjwa unaoathiri kazi zake, hana tuhuma za ku-underperform, wala hajaundiwa Tume ya kijaji kumchunguza, ameondolewaje? Ina maana mteuzi ana nguvu kuliko Katiba? Mbobezi wa sheria za Katiba Prof.Shivji anauliza!View attachment 1254207
Ingependeza kama ungemu-acknowledge aliyeandika hili andiko... muda sio mrefu nimelisoma kwa Melisa Fb.
 
Mjadala umeshafungwa labda mngeenda Mahakamani.
 
Mjadala mkubwa kwa sasa ni juu ya uteuzi wa CAG mpya Bw.Kichere na utenguzi wa Prof.Mussa Assad. Kumekuwa na mitizamo mingi lakini ipo ktk makundi makubwa mawili.

La kwanza ni lile linaloamini Rais amevunja Katiba kwa kumuondoa Prof.Assad kabla hajafikisha umri wa miaka 60 kama ilivyoelezwa na Katiba ibara ya 144(3) ikisomwa kwa pamoja na sheria ya ukaguzi no.11 ya mwaka 2008.

Kundi la pili ni lile linaloamini Rais alikua na 'mandate' ya kumuondoa Assad kwa sababu amemaliza kipindi chake cha miaka mitano. Kundi hili linaegemea kwenye sheria ya ukaguzi no.11 ya mwaka 2008 bila kusoma pamoja na Katiba.

Jana gwiji wa sheria wa kimataifa Prof.Issa Shivji aliungana na kundi la pili. Kupitia ukurasa wake wa Twitter alisema kipindi cha CAG ni miaka mitano, na ikiwa itampendeza mteuzi (Rais) anaweza kumuongezea mingine mitano 'as long as' hajafikisha umri wa miaka 65. Lakini akimaliza miaka mitano si lazima ateuliwe tena, ni mapenzi ya mteuzi.

Lakini leo Prof.Shivji ameomba radhi. Amesema alikosea na hivyo kujikuta anapotosha. Baada ya kurudia kusoma tena sheria hiyo pamoja na Katiba ya nchi amebadili maoni yake.

Amesema ikiwa CAG amemaliza kipindi chake cha mika mitano, na kama hajatimiza umri wa miaka 65 ni LAZIMA kuongezewa miaka mingine mitano. Yeye katumia neno "automatic". Anasema kifungu kidogo cha 3 cha sheria ya ukaguzi kinaeleza kuwa ikiwa Rais hatapenda kumuongezea CAG miaka mingine mitano, anapaswa kufuata masharti yaliyowekwa kwenye ibara ya 144(3) ya Katiba.

Masharti hayo ni pamoja na ugonjwa, kifo au tuhuma za kushindwa kutimiza majukumu yake. Na ikitokea hivyo Rais anapaswa kuunda Tume ya kijaji ya kuchunguza madai hayo kabla ya kufanya maamuzi.

Vinginevyo CAG hawezi kuondolewa kwa kigezo cha kumaliza miaka miatano. Ni LAZIMA kuongezewa mingine mitano kama hajafikisha umri wa maiaka 65, as long as haumwi ugonjwa unaoathiri kazi zake, hajafa na hatuhumiwi ku-underperform. Hii ni kwa mujibu wa sheria na Katiba na si "matakwa binafsi" ya mteuzi.

Sasa kama Assad hajafa, hajaugua ugonjwa unaoathiri kazi zake, hana tuhuma za ku-underperform, wala hajaundiwa Tume ya kijaji kumchunguza, ameondolewaje? Ina maana mteuzi ana nguvu kuliko Katiba? Mbobezi wa sheria za Katiba Prof.Shivji anauliza!
Credit to Malisa
CView attachment 1254207
Kuomba radhi ni uungwana uliotukuka!
 
Hata kwenye ibara ya 33 na 40 limetumika neno SHALL kwahiyo mwakani hamna haja ya kumchagua Rais, pili hizo ibara za 33 na 40 hazijataja umri wa Rais kwahiyo JPM aendelee Hadi afe mwenyewe, Kama ndio hivyo Basi Assad arudi ofisini
 
Back
Top Bottom