SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,616
- 7,862
Kazi ipo leo!Currently Active Users Viewing This Thread: 577 (48 members and 529 guests)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ipo leo!Currently Active Users Viewing This Thread: 577 (48 members and 529 guests)
wewe ni low sana......ulikuwa una m monitor michuzi kwa siku zoote tangu asubuhi mpaka jioni alipokuwa majuu? unajua anafanya kazi zilizompeleka kule muda gani? na muda gani anakutana na jhamaa zake anaowafahamu kupiga nao picha..
....yaani hizo picha ndio zimekufanya uone kuwa michuzi muda woote tangu atue majuu alikuwa anavinjari? unasoma magazeti ya tz wewe? angalia news alikuwa analeta nani kama si michuzi.....
No,no, noooooo suala sio vekesheni .....misafara hii analipa nani???hii ndo issue.Fisadi sio lazima awe Mwenyekiti wa CCM au waziri,tukumbuke ufisadi mdogo ndo ulotuletea huu mkubwa shauri ya kuteteana kinafiki na kiurafiki.Msumeno unakata huku na huko sio lazima kwa akina RA tu hata Michuzi yumo.Tukiangalia wa juu tuu so how about wadogo waliojazana kila sehemu kwa ufisadi???plzzz rekebisha kauli ufisadi sio kwa wakubwa tu na wado pia including vidagaa kama Michuzi.
Kwani hii topic ina nini mpaka inaangaliwa hivi? What's so special?Ngoma Nzito Mkuu wetu wa Wilaya . . . Mh. Nanihiiii
Currently Active Users Viewing This Thread: 571 (48 members and 523 guests)
Kama habari alikuwa analeta Michuzi,kuna haja gani ya kuwa na idara ya mawasiliano ya ikulu....Useless!!!!Tujadili issue jama.
-
- Kwa kifupi mkuu Michuzi alifuatana na rais, akilipiwa na magazeti yake ambako ndio ameajiriwa, lakini baada ya rais kuondoka jana amebaki akiendelea na vekesheni yake meaning wkamba anajilipia mwenyewe kwa sababu uwezo anao tena mkubwa sana maana ile blog yake ni chombo kikubwa sana na maarufu sana duniani,
- Na besides, nani anamlipia vekesheni ni no body's business! Kwani sheria ya jamhuri inasemaje kuhusu Michuzi kwenda vekesheni?
Respect.
FMES!
..Alichoniboa michuzi ni kuandika mambo ya hapa kule kwake..
- Hii ni ishu ya magazeti yanayomuajiri Michuzi, ambayo hayana uhusiano wowote na Ikulu, wao wanajua wanauza magazeti mangapi kwa kuweka picha za rais akiwa nje, au safarini popote pale!
Respect.
FMES!
magazeti ya Daily News yanayomlipa Michuzi si yapo chini ya Govt. so hio pesa bado inabaki ni ya walipa kodi.Hivi mfanyakazi wa kawaida bongo likizo yake ina siku ngapi???iweje yeye abaki huko??au ndo anaendelea kucover news za kupeleka D/News wauze magazeti????Ufisadi ni ufisadi tuu...na hivi hii nchi yetu haitaendelea.....mmekalia kuwafakamia akina RA tuu wengine mnawafanyia urafiki wa kinafiki.
magazeti ya Daily News yanayomlipa Michuzi si yapo chini ya Govt. so hio pesa bado inabaki ni ya walipa kodi.Hivi mfanyakazi wa kawaida bongo likizo yake ina siku ngapi???iweje yeye abaki huko??au ndo anaendelea kucover news za kupeleka D/News wauze magazeti????Ufisadi ni ufisadi tuu...na hivi hii nchi yetu haitaendelea.....mmekalia kuwafakamia akina RA tuu wengine mnawafanyia urafiki wa kinafiki.
I beg ur pardon!!!kwa sababu linajiendesha kibiashara basi tufunge macho na masikio kwa kila ufisadi unaofanyika huko???video/picha za Daily News ziwe shared na Michuzi blog sio......Mbona Mjengwa anakula trip lakini hatupigi kelele????tun a safari ndefu sana kuelekea kuikomboa hii nchi kwani ujomba,urafiki,ukabila na uozo tunautetea.MIND U.......Daily news inajiendesha kibiashara, therefore hauwezi kuwaamulia content gani wao wanauza zaidi, au wanahitaji zaidi , ili kujiendesha kwa faida, Inawezekana Picha wanazozipiga zinawategenezea faida kubwa kwa wao kuziuza katika national archive. Ukiangalia hata picha za nyerere au picha nyingi sana za historia ya Tanzania zilipigwa na Dailynews na zipo kwenye archive ya Daily News na unaweza ukamwona bwana Michuzi bado bwana mdogo sana wakati anachukua picha za kina nyerere huku na kule.
Swala la bwana michuzi kuendelea kuwa huko ni swala la mkataba wa yeye na mwajiri wake, Kama mwajiri wake amemkubalia akae huku kwa gaharama zake mwenyewe baada ya Kazi zake sidhani kama kuna tatizo as long as atareport baki siku anayotakiwa kurudi kazini.
Tuacheni majungu, this is extrem naona sasa tunaanza kuingilia hadi privacy za watu.
Kwani hii topic ina nini mpaka inaangaliwa hivi? What's so special?
I have to read from the 1st post?
naomba kujua mahusiano ya kodi ya wanananchi na mr michuzi kupiga picha akiwa mapumzikoni baada ya kazi.....Kwa Michuzi kuzichukulia safari za kikazi kama vaccation ni kosa, anatakiwa ajue kwamba everyword counts. Kama analipiwa safari na Daily news, basi anatakiwa ajue kuwa ni pesa za walipa kodi, na anatakiwa awape heshima hao walipa kodi kwa kuonyesha kwamba hachukulii kazi yake kimzahamzaha. Vinginevyo, alivyosema mchangiaji mmoja hapa kwamba alichofanya Michuzi ni freudian slip, basi Michuzi inaelekea huwa hafanyi kazi zake ipasavyo.
Kwani hii topic ina nini mpaka inaangaliwa hivi? What's so special?
I have to read from the 1st post?
What so special is, Michuzi directed his blog visitors to come and defend him here. Unfortunately, most users remain as guest, I wonder why they do not register in JF.
Today's trafick records is the highest since the November 2008.
Michuzi ameenda mapumzikoni wakati wa ziara ya kikazi ya Mh Rais? Mkuu nadhani Bro Mithupu atatujulisha kama akiona umuhimu huo,lakini ziara za Rais ni pesa za walipa kodi,unless alitumia pesa yake mwenyewe kwenye ziara hiyo ya kikazi ya mkuu wa nchi....Wenye kuelewa zaidi hii issue watupe habari....Pengine "Vekesheni" Yake ilianza kabla ama baada ya ziara ya Rais,hilo linahitaji kaufafanuzi flani kutoka kwa wale wenye more insight...naomba kujua mahusiano ya kodi ya wanananchi na mr michuzi kupiga picha akiwa mapumzikoni baada ya kazi.....