Issa Kamongo apatwa na msiba mwingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Issa Kamongo apatwa na msiba mwingine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Jul 23, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Yule msanii aliyenusulika katika ajali ya 5star amepatwa na msiba mwingine baada ya mke wake kukutwa amekufa Guest house.Musiba umefanyikia kwa Baba yake Issa ambaye anaishi k/koo na maziko yatafanyika kesho bunju tegeta.ameacha mtoto wa miaka 3.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mke kakutwa gesti kafa?????????

  nafikiri hapo panahitaji maelezo kidogo
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Umekuwa polisi? wanandugu hawahoji kulikoni!
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  labda alikuwa safarini ndugu. usiwe na imani haba,lol

   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  ni kwamba aliaga anaenda kudai madeni kwa watu anao wadai.ndo akakutwa kanyongwa.wamechukua simu na kitambulisho cha kupigia kura.mkoba wake wameuacha.
  chanzo;rafikiye marehemu
   
 6. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Its sad....RIP ...kuacha watoto wadogo hivyo inauma sana na aina ya kifo pia inatia uchungu zaidi, na huku kwetu mtu akishauwawa uchunguzi goes on 4ever, pole sana Issa.
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  Yule nyonganyonga bado yupo eee,na sisi kna mama unaaga unaenda tandale kumbe uko chanika,tupunguze kuchakachuliwa hoooovvvvyyyyo!!!!njia ya mwongo fupi hapo hakuna cha msafiri wala nini! Asa madeni mpaka guest?
   
Loading...