Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Mohammed Merah
just in the news have it that an armed man has killed at least 3 people (israels) while injuring several onlookers in france.
This saga occured on Last thursday Last week, and is brought here as a breaking News!...my hairs!Code:the news was announced Thursday on the police radio shortly after a 5-minute volley of gunfire
Mkuu tatizo watu wanaongea kilokole bila hata kujua wanaongea nini. Kwanza i doubt kama waliouawa ni waisraeli, habari za kuaminika zinasema waliouawa ni jews, tena wameuawa ufaransa na mtu ambaye pia anatarget blacks. By the way jews hawajioni kuwa ni first class people, they are racist yes but not arrogant kama baadhi ya watu wanavyodhani. Wanaonedekeza upuuzi wa taifa la mungu ni walokole, just ignore them. Kama wangekuwa taofa la Mungu they would be better than anyone na mungu asingewasubject to all troubles they go thorugh.
Who is us? I am not part of this misguided theology, so keep me out of this, please. You can only be a spokesperson for yourself and your family!wanapata mateso kama hayo kwa[/COLOR] sababu waliapa kuwa His blood shall be uopn us and uopn our children. Hicho kiapo bado kinawatembelea mpaka leo. La sivyo hakuna mtu amuwezaye Mu Israel hapa duniani. kama unabisha yaulize mataifa ya kiarabu mwaka 1967 kilichowakuta ktk six days war!
Wewe hii historia ya uongo umeitoa wapi?Huyo kijana ni anti-semite. Anti -semitism ni utamaduni wa chuki dhidi ya waisrael. hapa tanzania enzi za nyerera tulikuwa anti-semitsm state, kwa sababu tuliweka palestinian day ili kila mwaka kuadhimisha matusi mabaya dhidi ya Israel.alikuwa nakuja kiongozi wa palestina hapa nchini na kuwalikwa uwanja wa taifa, halafu kunakuwaga na wasoam risala kama arobaini na kila mmoja hutukana kwa jazba taifa la siael! bora ujamaa umekufa jamani!
kwa hiyo mataifa ya kiarabu yalikuwa na bado yanatumia kuuwauwa wayahudi huku mataifa mengine yakitumia matusi makali magazetini dhidi ya wayahudi. Tanzania ni moja wapo. hivyo usishangae kuona muarabu anatumia kuuwa wewe ngoja wiki kama mbili hivi utaona magzetini mna matusi makali sana kutoka kwa wasomi chuo kikuu wakiilenga Israel.
kweli sarkozy public imenkataa-akishinda urais naamani hata yeye atashangaaUchaguzi umekaribia.
French, Mauritanian operatives set Senussi up...walked into a trap set by French intelligence.
A Terrorist!!! Gaddafi's black box in French-Mauritanian trap | News by Country | Reuters
Sarkozy ana hali mbaya kisiasa na bado anataka kubakia kuwa Rais..Afanyeje?
EXCLUSIVE - Gaddafi's Spy Chief Uncensored declarations - « We Have Funded Sarkozy Campaign » - YouTube