Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Kwani ukiwa taifa a Mungu humo nchini kwenu mnatakiwa muwe na qualifications gani? Mimi nadhani brain and bravery ndiyo zaidi. Hawa jamaa ndivyo walivyo.
Kama unazungumzia bravery nadhani waarabu wanaongoza, tumeona wameweza kuwatimua madikteta kwa kuwapigia kelele na kuwavaa head on. Kama brains naona kwa sasa (in general) US, JAPAN, GERMANY na RUSSIA ndio kuna watu wenye brains wengi zaidi kwa kuwa software na hardware yao ni much more advanced than any other. Mambo haya ni ya kuongea kwa facts. Nimetembelea Israel na US, bado Japan na Ujerumani, lakini ujerumani na Japan zimenigusa karibu kwa kila kitu magari, electronics na vitu vingine inavyotumia kila siku. US kila kitu kiko wazi, lakini Israel kimsingi ni kama siifeel kila siku mbali na kuisoma kwenye biblia. Pia nina rafiki watatu jews nawafahamu wengine kadhaa ni watu wa kawaida kabisa, even better nilikaribia kuwa na kimwana myahudi. Hayo unayosema kuwa they are brave and have brains sikuyaona, isipokuwa niliona ni watu wa kawaida kabisa, wala hawakuwa extraordonary. Wapo walio na brains na wapo mazoms na wengine kawaida tu.
Unajua ulokole ndio unawafanya baadhi ya watu wawatukuze wayahudi. Nenda Tel aviv utashangaa kuona idadi ya ma-gay, au utashangaa jinsi polygamy ilivyo. Uwaulize walokole kuhusu mungu wao anachosema kuhusu polugamists na homosexuals uone kama hao ndio taifa la mungu. The point here ni kuwa walokole ni myopic, wanatumia biblia bila kujua ni nani aliiandika na kwa malengo gani. Wanasoma tu kama hadithi bila kujaribu kutummia uwezo waliopewa na mungu ku-critically analyse wanachosoma na dunia ya sasa.