Israeli students shot dead in Toulese, France. { Shooting Suspect is dead }

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Jul 8, 2010
849
103
Just in the news have it that an armed man has killed at least 3 people (Israels) while injuring several onlookers in France.

Latest

A man suspected of killing seven people in Toulouse {France} is reported dead after Police storm his flat. French media reports two Police Officers injured in the assault.
 
Hawa jamaa tangu enzi za hitler wanaishi hivyo hivyo ndo kwa maana wengi wanakuwa na passport mbili za kusafiria
 
Mungu pekee ndio atawalinda Israel, ni ahadi tokea enzi za baba zao Ibrahim na Yakobo. Anayefikiria kuwa watakwisha kwa uwezo wa mwanadam amepotea! Taifa la ahadi hilo.
 
Hatakama ungafanya nini, hiyo ndo staili ya maisha yao, na kamwe hawatakosa usalama kwa sababu yoyote ile kwani kwao kuishi ni agano na MUNGU. MUNGU IBARIKI ISRAEL!
 
Safi aliyewaua hawa wayahudi, hapa dar wanapatikana wapi kwa wingi?wenyewe wanavyopanga kuwaua wa iran wanategemea nn?
 
Wameshaanza kuwaindana tena, si ajabu ukasikia kuna retaliation, watadai ni terror group, hata kama ni individual, lazima waunganishwe wengine.

Kwa ujumla mu isarael ndo ataendelea kuishi kimachale machale zaidi.
 
Hawa jamaa wanajifanya wako juu, wenyewe ndio first class! Wananikera sana watu wanaoendekeza upuuzi wa 'taifa la Mungu'! Wangekuwa taifa la MUNGU wangemua 'mungu' mwenyewe Jesus?
 
Amewaua watatu huyo cha mtoto,hitler million sita,bado wapo sasa raisi wa iran anasema wanafaa kufutwa kwenye uso wa dunia na anachakarika kupata silaha za nuklia ili iwe rahisi kuwaua kwa mara moja.Hata weza israel yenyewe ina hiyo mitambo ikiona mambo yanaenda mrama mawili kurusha F-15,NA F-16 zikaibomoe mitambo yao au wawarushie makombora yenye vichwa vya nuklia,hapa tusubiri kidogo tuu maana juhudi za diplomasia zinaonekana kukwama kichaa hawezi kuruhusiwa kumiliki silaha za namna hiyo mosad wanafuatilia kwa makini hatua kwa hatua mu-iran anachofanya.
 
Shida kubwa ni kwamba mijamaa hii ina akili sana. Nyingi kuliko majirani zake na wengine wengi humu duninia. Ndiyo maana wanawachukiwa sana. Hii ni kawaida kwa binadamu. Unapomuana mwenzako amekuzidi kila kitu na kila ukifanya juhudi za kumfikia huwezi, basi inaishia kwenye chuki na uhasama.
 
Hawa jamaa wanajifanya wako juu, wenyewe ndio first class! Wananikera sana watu wanaoendekeza upuuzi wa 'taifa la Mungu'! Wangekuwa taifa la MUNGU wangemua 'mungu' mwenyewe Jesus?

Mkuu tatizo watu wanaongea kilokole bila hata kujua wanaongea nini. Kwanza i doubt kama waliouawa ni waisraeli, habari za kuaminika zinasema waliouawa ni jews, tena wameuawa ufaransa na mtu ambaye pia anatarget blacks. By the way jews hawajioni kuwa ni first class people, they are racist yes but not arrogant kama baadhi ya watu wanavyodhani. Wanaonedekeza upuuzi wa taifa la mungu ni walokole, just ignore them. Kama wangekuwa taofa la Mungu they would be better than anyone na mungu asingewasubject to all troubles they go thorugh.
 
Kwani ukiwa taifa a Mungu humo nchini kwenu mnatakiwa muwe na qualifications gani? Mimi nadhani brain and bravery ndiyo zaidi. Hawa jamaa ndivyo walivyo.
 
Safi aliyewaua hawa wayahudi, hapa dar wanapatikana wapi kwa wingi?wenyewe wanavyopanga kuwaua wa iran wanategemea nn?
hawa jamaa wana waua majirani wao na wanataka kuiteketeza Iran,wacha na wao wapate kichapo.
 
Amewaua watatu huyo cha mtoto,hitler million sita,bado wapo sasa raisi wa iran anasema wanafaa kufutwa kwenye uso wa dunia na anachakarika kupata silaha za nuklia ili iwe rahisi kuwaua kwa mara moja.Hata weza israel yenyewe ina hiyo mitambo ikiona mambo yanaenda mrama mawili kurusha F-15,NA F-16 zikaibomoe mitambo yao au wawarushie makombora yenye vichwa vya nuklia,hapa tusubiri kidogo tuu maana juhudi za diplomasia zinaonekana kukwama kichaa hawezi kuruhusiwa kumiliki silaha za namna hiyo mosad wanafuatilia kwa makini hatua kwa hatua mu-iran anachofanya.

Mkuu NA F-16 ndiyo ndege gani tena!
 
Just in the news have it that an armed man has killed at least 3 people (Israels) while injuring several onlookers in France.

Nakubali ni watu wenye akili nyingi katika nyanja za sayansi na niwepesi kutoa misaada sana kuliko Wa Arabu. Mimi kitu ambacho huwa kinanikela ni kule kuwa ma-racist na kuua watu ovyo na kupora aridhi za majirani zake; na kukaa wanalia lia kuhusu Holocast miaka nenda miaka rudi wanatumia card ya holocast kufanyia ukatili binadamu wenzao-binadamu walio waonea huruma wakapewa kipande cha nchi ya upalestina kujistili leo hii wamegeuka mbogo na kutaka kupora nchi nzima ya Palestina na kutaka kuwafukuzai mbali Wapalestina kutoka kwenye nchi yao, baadhi ya Wapalestina wameishi uhamishoni (makambini) maisha yao yote na Dunia inakaa KIMYA; Adamdejjan akisema naye atawafurumusha Wayaudi kama walivyo wafurumusha Wapelestina miaka nenda miaka rudi Dunia inamuona mbaya (Raisi wa Iran nadhani anatania tu hana nia thabiti ya kufanya kitu kama hicho) anataka kuikumbusha Dunia kuhusu ukatili wanao fanyiwa Wapalestina.

Kuna thread humu niliandika kwamba mimi natoka kanda ya ziwa-Kagera to be precise - huwa najiuliza hivi League of Nation ilipowambia Wayaudi wahamie Uganda, je kama wangekubaliana na pendekezo hilo kungetokea nini eventuary - naona Buganda, Kagera na Rwanda tusingebaki salama wangetufukuzia mbali au kutufanya watumwa wakulima mashamba yao na kuvuna matunda for export! Hiki ndicho kinacho tokea kwa raia wa Palestina.

Vita vya pili vya dunia vilikwisha miaka takribani 67 iliyopita mahasimu wakasamehana na kuanza kushiriana kiuchumi-mfano Merikani na Japan na Ujerumani, kwa nini Wayaudi awasamehe na kusahau wakasonga mbele. Dunia inapashwa kujuwa kwamba watu walio teseka na kufa kwenye concentration camps hawakuwa Wayaudi peke yao, walikuwepo makabila wengine kama Gipps,Wajermani vilema na wenye matatizo ya akili, Warusi mateka nk, Urusi peke yake alipoteza raia wake na wanajeshi millioni 25 na ndiyo iliyo bear the blunt ya vita kuu ya pili kwa kunusuru Dunia kutoka makucha ya manazi kwa kuvunja uti wa mgogo wa majeshi ya Hitler mbona hao huwa hawasemwi?
 
Mimi pia ni myahudi.
Please watch you mouth, nikikasirika nitawasaka nyote mnaotupinga kila mlipo!
Si mnajua nina uwezo huo?
 
Back
Top Bottom