FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,416
- 7,828
With the right tactics and technology, inawezekana kabisa kulitawala anga lenye active S-300 na S-400 SAM systems bila mushkeli.Israel bado anatawala anga la Syria lenye S-300 na S-400.
With the right tactics and technology, inawezekana kabisa kulitawala anga lenye active S-300 na S-400 SAM systems bila mushkeli.Israel bado anatawala anga la Syria lenye S-300 na S-400.
yaani ukatembee na kahaba ambaye umeambiwa ana ngoma na kaanza kukonda na mapele.mwili mzima kisa una kondom???Syria ana ideological enemies ambao hawahitaji uwawashie radar kuscan anga lao. Turkey walipoingia mapigano na Syria mpakani uliona Syria ilivopigana mpaka Russia akaingilia kati kufanya patrol na wakafikia terms. Syria hayuko vitani na adui yeyote anayemiliki ndege za kivita hao magaidi na wanamgambo wanamiliki Toyota double cabin kwa wingi.
Kuweka alert air defense sio priority kuu ila anataka pia kumridhisha Iran anayemsaidia mapigano na waasi, kwanza it comes with price na kuna wear & tear. Na bado kuna chances za missing targets hata wangekuwa on with very capable system (sio S 300). Ndio maana Israel wanazuia makombora ya Iran yasiwafikie Hezbollah, si wana Iron Dome kwanini wasiachane nayo hata yakitumiwa na wanamgambo watayazuia na mifumo yao.
Vipi na Hamasi wako nchi gani ambazo mpaka sasa ameshindwa kuwamaliza?yaani ukatembee na kahaba ambaye umeambiwa ana ngoma na kaanza kukonda na mapele.mwili mzima kisa una kondom???
Hezbollah hawana ardhi yao kwamba unajua wapo.wapi ukawashambulie wao wanawafanya watu kama shield. Hapo ndipo ugumu wa vita unapokuja.
Israel aliyeoigana na mataifa kama Misri na waarabu wenzake na kuwashinda hawezi sumbuliwa na Hezbollah kama wangekuwa ba kambi au jeshi sehemu fulani na sio kupigana ukiwa ndani ya nchi ya watu ambao una mkataba wa kimataifa wa amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Hamas ni jeshi???Vipi na Hamasi wako nchi gani ambazo mpaka sasa ameshindwa kuwamaliza?
Mbona ISS walimalizwa?Hivi Hamas ni jeshi???
Ai.kikundi cha kigaidi ndani ya Gaza tena hawa ndio kabisaaa ukienda hata huwaoni.
unakuta wamevaa kanvu wameshika tasbihi wakakunywa kahawa na familia zao ukiwapa mgongo wanajikusanya tena.
Hawa ndio wakifurushwa ulimwengu mzima zinatumwa picha za Israel imeua raia wa Palestine, wapo tayari kuwaweka wake zao na watoto mbele ili kujificha nyuma ya migongo yao.
The Israeli Ministry of Foreign Affairs statedHamas now regularly uses human shields to protect the homes of Hamas officials.

en.m.wikipedia.org › wiki › Human...
Human shield - Wikipedia
Sent using Jamii Forums mobile app
Who is Hamas funded by?
Hamas is a militant and political organization currently in power in the Gaza Strip. According to Mahmoud Abbas, President of the Palestinian National Authority, "Hamas is funded by Iran.
Mkuu haya makundi unaweza kuyamaliza kama yapo nchini kwako na mwenye nchi huyataki.Mbona ISS walimalizwa?
Kumbe siku hizi ukanda wa gaza ni nchi?Mkuu haya makundi unaweza kuyamaliza kama yapo nchini kwako na mwenye nchi huyataki.
Isis na Islamic brotherhood walipigana na nchi zao kisha mataifa mengine so ilikuwa rahisi kuyazingira kila upande.
Tofauti na hezbollah na Hamas ambazo zinakumbatiwa na host countries na zinafanya mashambulio yao kwa foreign country zikiwa kwenye host country.
Nadhani umenipata mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
ni mamlaka ya ndani ya Palestine. Ndio maana nkakuambia ukiingia unakuta wanaswali kumbe wameficha silaha uvunguni. Na ndio maana wanatumia wanawake na watoto kama ngaoKumbe siku hizi ukanda wa gaza ni nchi?
Alafu Israel sii meuzingira ukanda wa gaza kila mahali inakuwaje Iran inaweza kupenyeza silaha na kuwafikia Hamasi?ni mamlaka ya ndani ya Palestine. Ndio maana nkakuambia ukiingia unakuta wanaswali kumbe wameficha silaha uvunguni. Na ndio maana wanatumia wanawake na watoto kama ngao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hekalu l Suleiman lililopo Jerusalemu kumbe lilikuwa katikaYuda? nielemishe kidogo ili nieleweMaandiko Matakatifu kwenye Biblia yanasema, Yuda, ambaye kimakosa anatambuliwa kama Israel, atakuwa ni Taifa changa kuliko mataifa mengine 11 katika ile Jumuiya ya Mataifa/Kabila 12 ya Israel na Kwamba atawakalia majirani wake wote shingoni.
Sio Iran tu hata United Arabs Emirates nao walikuwa wanapa pesa ndefu. Saivi wamedhibitiwaAlafu Israel sii meuzingira ukanda wa gaza kila mahali inakuwaje Iran inaweza kupenyeza silaha na kuwafikia Hamasi?
Mkuu Baada ya Sulemani kufa Israel waligawanyika kabila 19 zikaunda ufalme wa Israel na kabila mbila Yuda na Efraimu wakaunda ufalme wa Yuda. So yote ni Israel na waliungana baadae maisha yakasongaHekalu l Suleiman lililopo Jerusalemu kumbe lilikuwa katikaYuda? nielemishe kidogo ili nielewe
Hujajibu swari bado.Sio Iran tu hata United Arabs Emirates nao walikuwa wanapa pesa ndefu. Saivi wamedhibitiwa
Angalia.ramani na maelezo kwa screenshot ueleweView attachment 1686034
Sent using Jamii Forums mobile app
Gaza imeoakana na nani upande wa kusini according to hayo maelezo au kuaoma umeshindwaHujajibu swari bado.
Obama aliegemea Muslims ndio maanaNetanyahu alikua against sana na Obama,hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2012 alikua upande wa Republican
Mnanichekeshaga sana naona unatunisha msuli kubisha chanzo cha habar.... Unaamua kwa makusudi kusoma unavyotaka wewe.... Swali kapigwa hajapigwa iran?Soma vizuri kilicho andikwa - wamesema ndege za Israel uvurumisha makonbora ya rocket kutoka kwenye anga la Lebanon sio anga la Syria - wewe unafikiri ni kitu gani kinawafanya ma Pilots wa ndege za Israel kugwaya kuingia kichwa kichwa kwenye anga la Syria?
Jeshi la ulinzi wa anga la Syria limesema makombora mengi yaliyo rushwa na ndege za Israel yakitokea huko Lebanon yalisabaratishwa/lipuliwa na air defense systems za jeshi la Syria, machache yaliyo fanikiwa kujipenyeza yaliharibu makazi ya raia na kuua watu. Haya mambo ya kudai eti air defense systems za jeshi la Syria si lolote si chochote hiyo si kweli hata kidogo - kama ingekuwa hivyo ndege za Israel zingekuwa zinaingia moja kwa moja kwenye anga la Syria na sio zinavurumisha makombora kutokea anga la Lebanon, huu ni ushahidi tosha kwamba Israel inaogopa ndege zake kutunguliwa.
Akisoma nitag mkuuOn January 13, Israeli warplanes carried out intense airstrikes in eastern Syria apparently targeting positions and arms depots of Iran-backed forces. At least 57 fighters were killed and dozens were wounded, according to a Syrian opposition war monitoring group.
The Israeli airstrikes, said SOHR, targeted “positions, weapons warehouses, ammunition and missiles depots affiliated to regime forces, the Lebanese Hezbollah, Iranian forces and their proxy militias, mainly ‘Fatemiyoun Brigade’, in the area between Deir Ezzor city and the Syria-Iraq border in Al-Bokamal desert.”
The Syrian Observatory for Human Rights said it recorded 39 Israeli strikes inside Syria in 2020 that hit 135 targets, including military posts, warehouses or vehicles.
Israel views Iranian entrenchment on its northern frontier as a red line, and has repeatedly struck Iran-linked facilities and weapons convoys destined for Lebanon’s militant Hezbollah group.
======----++++++++----=======
Soma hiyooooo.......
"..........On January 13, Israeli warplanes carried out intense airstrikes in eastern Syria apparently targeting positions and arms depots of Iran-backed forces. At least 57 fighters were killed and dozens were wounded, according to a Syrian opposition war monitoring group.
The Israeli airstrikes, said SOHR, targeted “positions, weapons warehouses, ammunition and missiles depots affiliated to regime forces, the Lebanese Hezbollah, Iranian forces and their proxy militias, mainly ‘Fatemiyoun Brigade’, in the area between Deir Ezzor city and the Syria-Iraq border in Al-Bokamal desert.”
The Syrian Observatory for Human Rights said it recorded 39 Israeli strikes inside Syria in 2020 that hit 135 targets, including military posts, warehouses or vehicles.
Israel views Iranian entrenchment on its northern frontier as a red line, and has repeatedly struck Iran-linked facilities and weapons convoys destined for Lebanon’s militant Hezbollah group........."
Yes.Hekalu l Suleiman lililopo Jerusalemu kumbe lilikuwa katikaYuda? nielemishe kidogo ili nielewe
IranIran au Iran proxy forces?